We kindly invite you all to click at each link of the following three photographs from Dr. Aimee Bessire.
1.mbula-compound- from Dr. Aimee Bessire.
2. research-committee- from Dr. Aimee Bessire.
3. wigashe- from Dr. Aimee Bessire.
1.mbula-compound- from Dr. Aimee Bessire.
2. research-committee- from Dr. Aimee Bessire.
3. wigashe- from Dr. Aimee Bessire.
Huguhaya giki, abhanhu abhatubhu bhadigutaga. Amasala gabho gagab’izaga galiganika higulwa ya shiliwa ukumanza gabho amingi.
Akahayile kenako kalilanga higulwa ya gub’iza na kajile kawiza mjiliwa na mukang’wele. Ili chiza uguleka kajile ka bhulaku bho jiliwa bhung’wi bho gub’itilija. Gugaleka amasala ga gaduta shiliwa duhu. Igelelilwe umunhu akutumile amasala gakwe mugwiyenhela maendeleyo ga mili na ga moyo, kukila mu bhu bulaku na bhung’wi bho gubhilitija.
Bharumi 14:17.
Msemo huo unaongelea juu ya watu wenye njaa kwa vile maisha ya watu huwa ni ya furaha wakiwa wameshiba. Ndiyo kusema kwamba, watu wakiwa wameshiba kila wakati huendelea kuwa na furaha hiyo kwao.
Hali ya watu kujisikia njaa kulinganishwa na upepo. Ndipo wakati kama huo husemwa na watu, maneno hayo ya upepo wa ndani ya tumbo la mtu umempuliza mhusika huyo. Kama watu wakijisikia njaa kwenye familia fulani, maana yake, familia hiyo imepulizwa na upepo. Huwa inakuwa vigumu kula na kushiba kwa watu kama hao kwa sababu ya watu hao kujijengea tabia ya kuwa na ulafi wa chakula.
Hivyo, watu walafi huwa hawashibi. Akili zao huwa zinafikiria juu ya chakula kwa muda uliomwingi maishani mwao.
Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na kiasi katika kula chakula na katika kinywaji. Ni vizuri kuacha tabia ya ulafi wa chakula na ulevi katika vinywaji. Inatakiwa kutumia akili aliyonayo mwanadamu kwa kufikiria zaidi maendeleo mema ya kimwili ya kiroho badala ya kuwa na tabia ya ulafi na ulevi.
Waroma 14:17. ´Maana ufalme wa Mungu si shauri la kula na kunywa, bali unahusika na kuwa na uadilifu, amani na furaha iletwayo na Roho Mtakatifu.´
The Sukuma people form the largest ethnic group in Tanzania with more than six million members. This population is concentrated in and around Mwanza and Shinyanga Regions. Other ethnic groups that are present have been progressively isolated or assimilated into this big unit. To speak the Sukuma language is the most normal thing in many villages of the area, and many Sukuma beliefs and practices are very much alive today.
This humorous Sukuma proverb is used by a mother to teach and counsel her children on discipline in eating, patience and perseverance in waiting for food to be served and the evil of gluttony. She emphasizes that a person who calls for food at the least sign of hunger pangs (that is compared to “wind” in the stomach in the original Sukuma), such as the child always saying “I’m hungry,” has no discipline in his or her life. The proverb is also used in a conversation with a glutton who is eating all the time.
Shisoji ja Bhuyegi: Open this story (as PDF) in Sukuma Language
HADITHI YA MACHOZI YA FURAHA HIKI NI KITABU
1
2
3
4
6
7
8
9
10
11
12
13
14
15