Imbuki ya lusumo lunulo, ilolile bhutumami bho limi. Ilimi linilo, ligatumamaga bho gutima pye amakanza, kunguno lidalindanaga lulu kiyi. Ilyoyi ligenhaga isana ukubhose abho bhalilibhona bho nduhu ugwima, kunguno litiho nulu gwilendeja gubeha bhugolo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘limi lidabehaga bhugolo.’
Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo bho bhukamu ahikanza lya milimo linilo, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agigulambijaga uguitumama imilimo yakwe yiniyo, kunguno adebhile igiki Ilimi lidalindanaga, iki ilyoyi lidabehaga nulu bhugolo. Uweyi agabhakomelejaga abhanhu bhakwe gwanguha kuja gujutumama milimo bho gumisha dilu, kugiki bhadule guitumama hatale imilimo yiniyo, hayo bhutali ugwila ubhujiku.
Umunhu ng’wunuyo, agapandika matwajo mingi ahakaya yakwe, kunguno ya gwigulambija gutumama milimo yakwe chiza ahikanza ilya limi. Uweyi agabhalanjaga abhiye ahigulya ya guitumama imilimo yabho, bho bhukamu bhutale ahikanza ilya milimo linilo. Hunagwene agabhakomelejaga gubhuka kuja kujutumama bho gubhawila giki, ‘limi lidabehaga bhugolo.’
Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya gwigulambija guitumama imilimo yabho ahikanza ilya milimo, na gubhakomeleja abhichabho gwanguha gujuitumama imilimo yiniyo, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.
Marko 13:33-37.
1 Wathesalonike 5:5-6.
Mathayo 6:34.
Luka 17:20-21.
2 Wakorintho 6:2.
2 Petro 3:8-9.
Yohana 9:4.
Wagalatia 6:9.
KISWAHILI: JUA HALIVUTI UGOLO.
Chanzo cha methali hiyo, chaangalia utendaji kazi wa Jua. Jua hilo, hufanya kazi ya kutoa mwanga muda wote, kwa sababu halisubiri chochote. Lenyewe huendelea kutoa mwanza wake bila kusimama, kwa sababu halivuti wala ugolo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Jua halivuti ugolo.’
Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutumia muda wake kwa hufanya kazi kwa bidii kubwa, katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kuyatekeleza majukumu yakwe hayo, kwa sababu anaelewa kwamba, Jua halisuburi, kwa vile halivuti wala ugolo. Yeye huwahimiza watu wake kuwahi kwenda kufanya kazi, ili waweze kufanya kazi kubwa mpaga kufikia wakati ule unapoingia usiku.
Mtu huyo, hupata mafanikio mengi kwenye familia yake, kwa sababu ya kujibidisha kwake, kuyatelekeza vizuri majukumu yake wakati wa kazi. Yeye huwafundisha wenzake juu ya kuutumia muda wao kwa kufanya kazi zao kwa bidii kubwa. Ndiyo maana yeye huwahimiza watu wake hao, kuwahi kwenda kazini kwa kusema kwamba, ‘Jua halivuti ugolo.’
Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kuutumia muda wao kwa kujibidisha kuyatekeleza majukumu yao, na kuwahimiza wenzao, kuwahi kwenda kazini, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.
Marko 13:33-37.
1 Wathesalonike 5:5-6.
Mathayo 6:34.
Luka 17:20-21.
2 Wakorintho 6:2.
2 Petro 3:8-9.
Yohana 9:4.
Wagalatia 6:9.
ENGLISH: THE SUN DOES NOT SMOKE TOBACCO.
The source of this saying is the sun and its function. One of the central functions of the sun is to provide light. It does so tirelessly. It will never delay waiting for someone rather it works non-stop in its function. This is why people came with the saying that ‘The sun does not smoke tobacco’ to mean that the sun is busy all the time. It doesn’t delay like the way someone can do because of having other issues to deal with before embarking on his/her journey.
This saying can be compared to a person who spends his/her time working hard in his/her life. This person knows the value of time and he/she would struggle to make sure that he/she follows it well without any delay. Such a person encourages others to work hard in order to have great achievements in their lives.
This saying teaches people to spend their time well by fulfilling their responsibilities without wasting time for nothing. In so doing, they can have success in life.
Mark 13: 33-37,1Thessalonians 5: 5-6, Matthew 6:34, Luke 17: 20-21, 2Corinthians 6: 2, 2Peter 3: 8-9
John 9: 4, Galatians 6: 9.