648. IGALASHU GASHI LYOCHI LYA NG´WISEGE LYAGUBEHA BHADAKI.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile igalashu. Iligalashu linilo, lili lisege ilo ligatumamilagwa mu gulibeha litumbati. Aliyo lulu, ilyochi lyalyo likab´izaga ikali gukila ilya mshigala. Hichene ligahayiyagwa giki, ‘Igalashu gashi lyochi lya ng’wisege lyagubeha bhadaki.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa  kuli munhu uyo agibhegelejaga chiza mpaka oitumama imilimo yakwe chiza, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agaitumamaga imilimo iyo ilidimu mpaga oyimala chiza kunguno, ya wibhegeleja bhokwe, haho atali uguyandya uguitumama imilimo yiniyo. Uweyi agajikumingaga pye ijitumamilo ijo jidulile ugumwambilija ijinagugumala wangu unimo gokwe gunuyo.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni igalashu, kunguno nuweyi alina bhudaki ubho uguitumama mpaga guimala imilimo yakwe yiniyo, umuwikaji bhokwe. Akikalile kakwe kagabhalanjaga abhiye inzila ja gwigulambija uguitumama imilimo yabho mpaga guimala chiza. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, ‘Igalashu gashi lyochi lya ng’wisege lyagubeha bhadaki.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhukamu bho  gujikuminga pye ijitumamilo ja milimo yabho, haho bhatali uguyandya, na gwigulambija guitumama mpaga bhayimale chiza, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

Luka 14:28-31.

Luka 4:1-5.

Mathayo 19:12.

KISWAHILI: IGALASHU KUMBE MOSHI WA KWENYE KIKO CHA KUVUTA WAKAKAMAVU.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia igalashu. Igalashu hilo ni Kiko kinachotumiwa kuvitia tumbaku. Lakini moshi wake ni mkali kuliko ule wa sigara. Ndiyo maana watu husemwa kwamba, ‘Igalashu kumbe moshi wa kwenye Kiko cha kuvuta wakakamavu.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana bidii ya kuzitekeleza vizuri kazi zake, katika maisha yake. Mtu huyo, hujiandaa vizuri kwa kuvikusanya vitendea kazi vinavyotakiwa katika utekelezaji wa kazi hiyo husika, kabla ya kuianza kuitekeleza. Yeye hujibidisha kuifanya kazi hiyo mpaka hufaulu kuimaliza, kwa sababu ya kufanya maandalizi mazuri kabla ya kuianza.

Mtu huyo, hufanana na wale wakakamavu, kwa sababu na yeye ni mkamavu katika utekelezaji wa majukumu yake, kwa vile hujibidisha kuzitekeleza kazi zake mpaka anafaulu kuzimalima vizuri.

Maisha yake, huwafundisha wenzake, juu ya kujibidisha kuyatekeleza majukumu yao hayo, mpaka kuyamaliza vizuri, maishani mwao. Ndiyo maana watu humuita kwamba, ‘Igalashu kumbe moshi wa kwenye Kiko cha kuvuta wakakamavu.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kufanya maangalizi ya kuvikufanya vitendea kazi vyao, kabla ya kuanza kazi,  na kujibidisha kuzitekeleza mpaka kuzimaliza vizuri, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

Luka 14:28-31.

Luka 4:1-5.

Mathayo 19:12.

isege6

isege10

isege9

 

ENGLISH: THE SMOKE FROM TOBACCO PIPE IS SMOKED BY BRAVE PEOPLE.

The source of this saying is tobacco pipe and its smoke. This tobacco pipe is said to produce bitter smoke when compared to that that comes from cigarattes. To be able to smoke one needs to be strong enough and courageous. This is why people came with this saying that ‘the smoke from tobacco pipe is smoked by brave people’ to communicate the bitterness of the smoke.

This saying can be compared to a person who has the ability to carry out his/her duties in his/her life. This person can prepare himself/herself well by gathering the necessary resources for the execution of his/her duties before commencing to carry it out. He/she takes care of the task until he/she finishes it. Such a person teaches others about responsibility and perseverance in life.

The saying teaches people how to be diligent in practicing their skills. They need to be tolerant in carrying out their duties in life.

Luke 14: 28-31, Luke 4: 1-5, Matthew 19:12.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.