641. MBULA IBHANGE BHUHAB´I.

Imbuki ya lusumo lunulo, yingilile kubhulenganiji bho mbula na bhuhab’i. Imbula yiniyo ulu yudila ugutula, abhanhu bhadapandikaga ijikolo, kunguno ijikolo, guti jiliwa, jigakujiyagwa na mbula. Kuyiniyo lulu, imbula ulu yulamba igikolaga na munhu uyo walambilwa gupandika jikolo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘imbula ibhange bhuhab’i.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agaitumilaga chiza imbula ulu yatula, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agigulambijiga gulima migunda mitale, kugiki adule kupandika jiliwa ja gutumila aha likanza lya nduhu mbula. Uweyi adebhile isolobho ya mbula yiniyo, kunguno ya wikoji bhoyo nu ubhuhab’i, iki ulu yulamba ugutula, abhanhu bhagabhikaga.

Kuyiniyo lulu, umunhu ng’wunuyo agabhakomelejaga abhanhu bhakwe gulima migunda mitale, iyo idulile gubhingija bhuhab’i, ahikanza lya mbula nhale, haho idinalamba.

Uweyi agabhizaga jigemelo ja gulima migunda mitale ukubhiye, kunguno ya wigulambija bhokwe, ubho gutumama na nguzu imumigunda yakwe. Hunagwene uweyi agabhawilaga abhiye giki, ‘imbula ibhange bhuhab’i.’

Ulusumo lununo, lolanga bhanhu higulya ya gwigulambija gulima migunda mitale ulu yatula imbula, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi ayo bhalagatumamile ahikanza lya nduhu mbula, umuwikaji bhobho.

1Wafalme 17:7.

Mithali 28:3.

Yeremia 14:4.

Amosi 4:7.

Yakobo 5:17.

KISWAHILI: MVUA NI KAMA UMASKINI.

Chanzo cha methali hiyo, chatokea kwenye ulinganishaji wa mvua na umaskini. Mvua hiyo, ikichelewa kunyesha, watu huchelewa kupata vitu, kwa sababu vitu hivyo kikiwemo chakula, hutegemea kukuzwa na mvua hiyo. Kwa hiyo basi, imvua hiyo ikiadimika hufanana na mtu aliyekosa kupata vitu. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mvua ni kama umaskini.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hukitumia vizuri kipindi cha mvua, katika maisha yake. Mtu huyo, hujibidisha kulima mashamba makubwa ya kumwezesha kupata chakula cha kutosha kutumia kwa miaka mingi, isiyokuwa na mvua. Yeye anafahamu faida ya mvua hiyo katika uivishaji wa mazao yake, kwa sababu ya ufananaji wake na umaskini, kwa wale walioikosa mvua hiyo.

Kwa hiyo basi, mtu huyo huwahimiza watu wake kulima mashamba makubwa inaponyesha, yawezeyo kuwapatia mafanikio ya kutumia wakati wa mvua hiyo kuadimika, katika maisha yao.

Yeye huwa mfano wa kuigwa na wenzake katika kulima mashamba hayo makubwa wakati wa mvua hiyo kunyesha, ili waweze kupata mazao ya kutosha kutumia wakati wa kuadimika kwa mvua hiyo. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, ‘mvua ni kama umaskini.’

Methali hiyo, hufundisha watu juu ya kujibidisha kulima mashamba makuwa inaponyesha mvua, ili waweze kupata mazao mengi ya kutosha kutumia wakati wa kuadimika kwa mvua hiyo.

1Wafalme 17:7.

Mithali 28:3.

Yeremia 14:4.

Amosi 4:7.

Yakobo 5:17.

mbula4

mbula1

mbula2

 

ENGLISH: RAIN IS LIKE POVERTY.

The source of this saying is the comparison between rainfall and poverty. Always rain is a sign of blessing through farm production. When it rains people and other living things become assured of having food. Failure to have rain, it means poverty and death to most of living things. This is why people came with this saying that ‘rain is like poverty’ to communicate how the shortage of rain can result into poverty in a certain area.

This saying can be compared to a person who makes good use of the rain season in his/her life. This person can work hard to cultivate large farms of food crops that will provide him/her with enough food until the next harvesting season. This person knows the benefit of the rain in crop production. Failure to have rain it means poverty to people as they cannot have food to eat or sell to get some money for their survival. Such a person teaches others about engaging in large scale farming so as to have enough food that can last for quiet a long time.

This saying teaches people about hard work and timely farming according to seasons of the year. In so doing, people will be able to get enough food and avoid poverty in their families.

1Kings 17: 7, Proverbs 28: 3,Jeremiah 14: 4, Amos 4: 7, James 5:17.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.