605. KALAGU – KIZE. NAGUJI NKUMUKU AGUSIMIZAGA NA NUMBA YAKWE HANGONGO: – GULUMADI.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ilinola gulumadi. IGulumadi yiniyo, jilijisumva ijo jili nigula lidimu gete aha ngongo gojo, ilo ligajilang’hanaga. Giko lulu nulu ilitula mbula iyoyi igagushogejaga untwe goyo ng’wigula lyayo linilo. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘naguji nkumuku agusimizaga na numba yakwe hangongo:- Gulumadi.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli Yesu Kristo uyo ali naguji Nkumuku. UYesu ali na bhudula bho gubhapija abho bhanzunije umukikalile kabho. Abhanhu bhenabho, bhagapijiyagwa nanghwe umumakoye ganeyo, kunguno uweyi alina bhudula bho gubhingija ishibhi jabho, abhanhu bhenabho.

Abhanhu bhenabho, bhagasimzaga bhang’wisanije weyi umukikalile kabho, kunguno bhagalunganaga naghwe, umukikalile kabho kose, gubhitila bhatizimu. Hunagwene bhagabhaganilaga abhanhu giki, ‘naguji nkumuku agusimzaga na numba yakwe hangongo:- Gulumadi.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gunzunya Yesu Kristo, bho gubhatijizwa na gwikala mumalagilo gakwe, kugiki bhadule gupijiwa nawe, na gushiga ng’wigulu.

Luka 8:43-44.

Luka 7:11-17.

Mathayo 9:18-26.

Yohana 4:43-54.

Marko 5:21-43.

Yohana 15:1-17.

Mathayo 11:28-30.

Mathayo 16:18-20.

KISWAHILI – TEGA.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

MGANGA MAARUFU ANATEMBEA NA NYUMBA YAKE MGONGONI:– KOBE.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia kiumbe anayeitwa Kobe. Kobe huyo, ni kiumbe mwenye gamba gumu kabisa mgongoni mwake, ambalo humkinga na hatari mbalimbali. Hivyo basi, yeye ikinyesha mvua hukirudisha kichwa chake kwenye gamba hilo. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘mganga maarufu anatembea na nyumba yake mgongoni:- Kobe.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa Yesu Kristo ambaye ni Mganga Maarufu. Yesu anao uwezo wa kuwaponya watu wanaomwamini katika maisha yao. Watu hao, huponyeshwa kwenye matatizo  na Yesu kwa sababu Yeye anauwezo wa kuwaondolea watu dhambi zao.

Watu hao, hutembea wakiwa wanamtumaini yeye katika maisha yao, kwa sababu ya wao kuungana naye Katika maisha yao kwa njia ya ubatizo. Ndiyo maana wao huhadithiana kwamba, ‘mganga maarufu anatembea na nyumba yake mgongoni:- Kobe.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kumwamini Yesu Kristo, kwa kubatizwa na kuyaishi maagizo yake, maishani mwao, ili yeye awaokea kwenye maisha ya kupotea na kuwapatia maisha ya uzima wa milele mbinguni.

Luka 8:43-44.

Luka 7:11-17.

Mathayo 9:18-26.

Yohana 4:43-54.

Marko 5:21-43.

Yohana 15:1-17.

Mathayo 11:28-30.

Mathayo 16:18-20.

gulumadi

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

THE FAMOUS TRADITIONAL HEALER WALKS WITH HIS HOUSE ON HIS BACK – TORTOISE.

The source of this riddle is the creature by the name of tortoise. The tortoise has a hard shell on its back that protects it from various dangers. So when it senses some danger it retracts its head and hides it. That is why people say ‘the famous traditional healer walks with his house on his back – tortoise’ to communicate the behaviour of tortoise.

This riddle can be compared to Jesus Christ, the Great Physician. Jesus has the power to heal those who believe in Him. Jesus has the power to take away their sins. Having trust in Jesus makes people have relief in their lives because they are served by Him through baptism.

This riddle teaches people about believing in Jesus Christ by being baptized and living God’s commandments.

Luke 8: 43-44, Luke 7: 11-17, Matthew 9: 18-26; John 4: 43-54, Mark 5: 21-43, John 15: 1-17, Matthew 11: 28-30, Matthew 16: 18-20.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.