606. KALAGU – KIZE. KASAB’I KA MAKELULE:– KAB’AMBU.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola B’ambu. Ib’ambu jili jisumva ijo jili ja gukamaga gete, gunguno jigamanaga jigalucha galucha umili gojo, aho juja jugikola naho jimaga.  Iyoyi ili na bhusabhi bho makelule agagwikola naho yimaga. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘kasab’i ka kakelule:- Kab’ambu.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo, adabhudimilaga chiza ubhung’hana, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agalondejaga akikalile kabhanhu abho alabhasange, kugiki adule gupandika jiliwa, umukikalile kakwe, guti ni b’ambu umo igikolelaga naho yimilaga.

Uweyi agab’ib’isaga abhanhu abho bhamhanile, bho gwigalucha umili gokwe, kugiki abho bhamanile bhanjimilwe, nabho obhasangaga bhahaye giki aling’wichabho. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘kasab’i ka kakelule:- Kab’ambu.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gudimila chiza inzila ya ng’wa Yesu Kristo bho gugikalana amalagilo gakwe, na bho nduhu gwigalucha  guti b’ambu, kugiki bhadule gushiga ukubhupanga ubho bhudashilaga.

Kumbukumbu la Torati 30:15-20.

Yohana 15:4.

Ufunuo 3:14-22.

Wafilipi 3:8-9.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

TAJIRI WA RANGI:- KINYONGA.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaamwangalia Kinyonga. Kinyonga ni kiumbe wa kuashangaza kabisa, kwa sababu ya kujigeuze geuza mwili wake kila anapoenda, ili uweze kufanana na rangi ya pale alipo. Mwenyewe ana utajiri wa rangi wa kujifananisha na rangi ya pale alipo simama. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘tajiri wa rangi:- Kinyonga.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye haushikilii vizuri ukweli katika maisha yake. Mtu huyo, hufuata mkumbo wa kufanana na wale anaowakuta kila aendapo, ili aweze kupata chakula, katika maisha yake, kama kinyonga afananavyo na rangi ya pale aliposimama.

Yeye hujificha kwa watu wanaomfahamu kwa kujibadili tabia yake, ili wanaomfahamu wasimtambue, na wale anaowakuta, wamfikirie kwamba yeye ni mwenzao. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘tajiri wa rangi:- Kinyonga.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuishikilia vizuri njia ya kumfuata Yesu Kristo, kwa kuyaishi maagizo yake, bila kubadilika kama kinyonga, ili waweze kufika kwenye uzima wa milele.

Kumbukumbu la Torati 30:15-20.

Yohana 15:4.

Ufunuo 3:14-22.

Wafilipi 3:8-9.

bhambu2

bhambu3

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

HE IS RICH IN COLOURS – CHAMELEON.

The source of this riddle is a reptile by the name of chameleon. Chameleon is a very strange reptile because it is capable of changing colours according to the environment it is in. It is an organism that is assumed to be rich in colours. This habit of chameleon of having different colours made people to come up with their riddle that ‘He is rich in colours – chameleon’ in order to justify the power of chameleon to change its colours according to different environment.

This riddle can be compared to a person who does not hold the truth in his/her life. This person tends to change over time as he/she encounters different environment and different people. The aim of this person to do so might be seeking acceptance from different people and environment. Such people can tend to hide themselves from other people who know them by adjusting their behaviours.

This riddle teaches people to follow Jesus Christ by living His commandments. People should not change their ways in their efforts to abide by God’s commandments. In so doing, they will be able to enter the God’s Kingdom.

Deuteronomy 30: 15-20, John 15: 4, Revelation 3: 14-22, Philippians 3: 8-9.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.