607. DILU MAKINGO NU MANULA SHIIGI.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile shiigi. Ishiigi yiniyo, jili ginhu ijo jigabhungaga masonga umugati yajo. Unimo go masonga genayo, guli gulasila aliyo unasi mpaga wikale nabho ubhuta, ubho bhugatumamilagwa kihamo na masonga. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘dilu makingo nu manula shiigi.’

Akahayile kenako, kagaleganijiyagwa kuli Munhu uyo agipunaga dilu osola jitumamilo jakwe na kuja gujutumama milimo, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, aganguhaga ugumisha obhucha jilanga jakwe ija gutumamila, kugiki agaitumame imilimo yakwe bho likanza lilihu gushiga mpaga aho ligasebhele ilimi.

Uweyi agamanulaga jilanga ija gujilanija nu nimo gokwe giti: Igembe, Panga, Mbasa, sululu na jingi. Umunhu ng’wunuyo, ulu wipunaga guja kwisoma, agubhucha jilanga jakwe guti Jitabho, kalamu na jingi jingi.  Uweyi agasolaga jilanga ijijikomile ugugutumama unimo uyo alinago. Hunagwene agayombaga giki, ‘dilu makingo nu manula shiigi.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gulonja ikanza lya gwipuna dilu na guja gujutumama milimo yabho, bho b’o nguzu nijilanga jabho bhabhuchije umu makono, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho.

2Wathesalonike.

Matendo 6:33.

1Wakorintho 14:8-9.

Ufunuo 2:10-11.

KISWAHILI: ASUBUHI MAPEMA NACHUKUA PODO.

Chanzo cha msemo huo,  chaangalia podo. Podo ni chombo cha kuhifadhia mishale ndani yake. Kazi ya mishale hiyo, ni pamoja na kurusha (kuchoma) pale ambapo mhusika hutumia upinde unaofaa kurusha mishale hiyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘asubuhi mapema nachukua podo.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule anayeamuka mapema asubuhi akachukua kifaa chake cha kufanyia kazi, na kwenda kufanya kazi, katika maisha yake. Mtu huyo, huwahi kuamka na kuchukua silaha yake ya kufanyia kazi ili akafanye kazi kwa muda mrefu mpaka kufikia wakati wa jua kuwa kali.

Yeye huchukua vifaa vya kufanyia kazi kama vile: jembe, panga, Shoka, Sululu, na vingine vingi. Anapoenda kusoma huchukua vitabu, peni, kalamu lula na vingine vingi. Mtu huyo, huchukua kifaa cha kazi kinachoweza kumsaidia katika kuitekeleza vizuri kazi yake hiyo. Ndiyo maana yeye husema kwamba, ‘asubuhi mapema nachukua podo.’

Msemo huo, hufundisna watu juu ya kujali muda wa kwenda kazini kwao, wakiwa na vifaa vya kuitekelezea kazi yao hiyo, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

2Wathesalonike.

Matendo 6:33.

1Wakorintho 14:8-9.

Ufunuo 2:10-11.

shigi5

shigi2

 

ENGLISH: EARLY IN THE MORNING I TAKE THE QUIVER.

The source of this saying is the quiver. A quiver is a tool for keeping arrows. Arrows are mainly used for shooting. People tend to leave their homes very early in the morning in order to go hunting. This scenario of leaving very early in the morning can be described using the saying that ‘early in the morning I take the quiver.’

This saying can be compared to a person who wakes up early in the morning and picks up his/her working equipment and goes to work. This person can be someone who can work in his/her farm from sunrise to sunset. He/she uses farming equipment such plough, sword, axe, pickaxe, and much more. To students, the working tools could be books, pens and much more.

This saying teaches people about caring for their time. People should respect time so that they can be able to finish their works on time.

2 Thessalonians , Acts 6:33.1, Corinthians 14: 8-9, Revelation 2: 10-11.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.