603. UYO ALIGUSHA MU NYANZA AHA GUSHINAGA NA BHANGI BHALIHO.

Imbuki ya kahayile kenako, ililola bhogi bho munyanza. Inyanza ili nhale noyi, ulu munhu alibunha moyi adulile gwimana weyi duhu igiki alimani, aliyo gashinaga bhaliho bhangi bhingi guke moyi, abho bhadebhile uguhega gulebha uweyi. Ukwene huguhaya giki, umugati ya nyanza yiniyo, galihoyi majisumva gangi mingi. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘uyo aligusha mu nyanza aha gushinaga na bhangi bhaliho.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agisansanyaga masala, nulu nguvu yakwe bhung’wene, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, adadebhile igiki bhali hoyi bhangi abho bhali na masala, nulu abho bhali na nguzu ningi, gukila uweyi, abha igilelilwe bhang’wambilije.

Uweyi agikolaga nu nhegi omunyanza uyo agimanaga weyi duhu, kunguno nuweyi agisanyaga masala gakwe bhung’wene duhu, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘uyo aligusha mu nyanza aha gushinaga na bhangi bhaliho.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhichabho, umubhutumami bho milimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umuwikaji bhobho. Igelelilwe abhanhu bhenabho, bhajileke inungwa ja gwisanya masala gabho duhu, nulu nguzu jabho duhu, umukikalile kabho.

Zaburi 133:1.

Yohana 17:11.

Yohana 17:21-23.

Marko 10:45.

Waefeso 4:3-4.

Waefeso 4:13.

KISWAHILI: YULE ANAYECHEZA BAHARINI KUMBE NA WENGINE WAPO.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia uchezaji wa kwenye baharí. Bahari hiyo, ni kubwa sana kiasi kwamba mtu akiwa anaoga anaweza kudhani kuwa ni yeye peke yake, anayeelewa kuogolea kupita wengine. Ndiyo kusema kwamba, ndani ya baharí hiyo, kuna viumbe wengi mno. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘anayecheka baharini kumbe na wengine wapo.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hutegemea akili au nguvu zake peke yake. Mtu huyo, hafahamu kwamba, kuna wengine wenye akili na nguvu nyingi kupita yeye, ambao wana uwezo wa kumsaidia.

Yeye hufanana na muogeleaji anayejidai kwamba ni fundi wa kuogelea kupita wengine, kwa sababu naye hutegemea akili zake tu au nguvu zake tu, katika maisha yake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘anayecheka baharini kumbe na wengine wapo.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa pamoja na wenzao katika utekelezaji wa majukumu yao, ili waweze kupata mafanikio mengi zaidi katika maisha yao. Yafaa watu hao, waache tabia ya kutegemea akili au nguvu zao tu, katika maisha yao, bila kushirikiana na wenzao.

Zaburi 133:1.

Yohana 17:11.

Yohana 17:21-23.

Marko 10:45.

Waefeso 4:3-4.

Waefeso 4:13.

munhu1

ng'wina

ng'wina1

 

ENGLISH: THE ONE PLAYING AT THE SEA WHILE OTHERS ARE THERE TOO.

The source of this saying is swimming in the sea. A sea being a big water body, one swimming from one end of it will think that he/she is the only one who knows to swim. He/she doesn’t know that in the sea there are numerous creatures whose life is always in water and therefore, for them, swimming is a daily activity. To describe this scenario, people came with the saying that ‘The one playing at the sea while others are there too’ to communicate someone’s ignorance about the world around him/her.

This saying can be compared to a person who knows less about the world around him/her. Instead, he/she constructs the world based on only what he/she can see. This person can be likened to a swimmer who claims to be the best swimmer because he/she relies on his/her intelligence without thinking about others who might be better at swimming than him/her.

The saying teaches people about being open to learn from others. People should be able to seek for more knowledge from peers before they come to conclusion about certain issues.

Psalm 133: 1, John 17:11, John 17: 21-23, Mark 10:45, Ephesians 4: 3-4, Ephesians 4:13.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.