562. SELEKALI YILI NA NKONO NIHU.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhutumami bho Selekali. Iselekali igatumamaga milimo yayo, bho gwiyambilija, kugiki idule gubhashigila pye abhanhu bhayo. Iyoyi igatumamaga bho guja bhaliinhilija abhatumami bayo, guti munhu uyo ali nkono nihu. Hunagwene abhanhu bhabayombaga giki, ‘selekali yili na nkono nihu.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagatumamaga milimo yabho bho gwiyambilija, umuwikaji bhobho. Abhanhu bhenabho bhagatumamaga milimo yabho bho guja bhagwiinhilijaga mpaga nose gugashigaga nigo uko goligujile.

Abhoyi abhagabhalanjaga na abhichabho kubhiza na wiyambilija bhunubho, kugiki bhadule nulu guishisha nyalubha yoseyose, bho guja bhagwiyinhilijaga. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘selekali yili na nkono nihu.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu gubhiza na wiyambilija bhutale umukikalile kabho, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi umuwikaji bhobho.

(Kutoka 18:22; Mathayo 28:19).

KISWAHILI: SERIKALI INA MKONO MREFU.

Chanzo cha msemo huu chatokea kwenye utendajikazi wa Serikali. Serikali hutenda kazi zake kwa kwa watumishi wake kushirikiana na kusaidiana baina yao, ili huduma ziweze kuwafikia watu wake wote kwa haraka. Yenyewe hutenda kazi kwa watumishi kupokezana maelekezo kama mtu mwenye mkono mrefu. Ndiyo maana watu husema kwamba ‘Selikali ina mkono mrefu.’

Msemo huu hulinganishwa kwa watu wale ambao huyatekeleza majukumu yao kwa kushirikiana na kusaidiana katika maisha yao. Watu hao husaidiana katika kufanya kazi zao, kwa kupokezana mpaka wanafaulu kuufikisha ujumbe kule unakotakiwa kwenda.

Wao huwafundisha pia wenzao kuwa na ushirikiano huo, ili waweze kuufikisha ujumbe wao kule unakotakiwa kufika, kwa haraka iwezekanavyo. Ndiyo maana watu husema kwamba ‘Selikali ina mkono mrefu.’

Msemo huu hufundisha watu kuwa na ushirikiano mkubwa wa kuwawezesha kusaidiana vizuri katika maisha yao, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani.

(Kutoka 18:22; Mathayo 28:19).

migration

nkono

 

ENGLISH: THE GOVERNMENT HAS A LONG HAND.

The foundation of this saying is how the government works. The government performs its functions by its workers passing information from on person to another, so that the message reaches all intended receivers quickly. It works as a person with a long. That’s why people say, ‘the government has a long hand.’

The saying is used comparatively with reference to those people who fulfill their responsibilities by helping each other in their lives. These people help each other in their work by relaying messages to the intended destination.

The people also teach others to work cooperatively so that they can achieve their desired end as quickly as possible. That is why people say ‘the government has a long hand.’

This saying teaches people about partnership, which enables helping each other in life for the better achievement of their objectives in life.

(Exodus 18:22; Matthew 28:19).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.