552. LUB’UNDA MIYAGA.

Imbuki ya kahayile kenako, ililola bhubhundi bho miyaga bho jivumva jilebhe, nu bho ningi uyo alinduja. Ubhubhundi bho miyaga bhunubho, bhuli bho jisumva ijo jigasamaga huna lyungila luyaga umunogo gojo. Ijoyi jigihayaga giki jilina bhudula bho gulubhugila luyaga lutale.

 Ulu ningi nduja ubhakinga abhiye agihaya giki, nuweyi agabhundaga miyaga, kunguno adahebhagwa umumbina jabho. Hungwene agiitanaga umugiji o miyaga ng’wunuyo giki, ‘Lub’unda miyaga.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyaga kuli munhu uyo alina nguzu ja gutumama milimo iyo iganmaliga makoye, umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agatumamaga milimo ya gubhatongela chiza abhiye, kugiki bhadebhe ugugamala amakoye gabho, bho gutumama milimo yabho chiza.

Uweyi agikolaga nu lub’unda miyaga, kunguno nuweyi alina nguzu ja guyihebha imilimo yakwe chiza. Imilimo yiniyo, iganmalilaga makoye aha ng’wakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, ‘Lub’unda miyaga.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na nguzu ja guitumama milimo yabho chiza, kugiki bhadule gubhingija abhanhu bhabho makoye ga gugayiwa jiliwa, umuwikaji bhobho.

Mathayo 27:45-54.

Marko 1:21-28.

Matendo ya mitume 16:2,

1Wathesalonike 4:11-12.

KISWAHILI: MBUGIAJI WA UPEPO.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia ubugiaji wa upepo wa kiumbe fulani au wa manju ambaye huwashinda wenzake katika michezo ya ngoma. Ubhugiaji huo, ni wa kiumbe ambacho huachana ili kuruhusu upepo ungie mdomoni. Chenyewe hujidai kuwa na uwezo wa kuubugia upepo mkubwa, uwezao kuchukua vitu mbalimbali.

Hali hiyo, hutokea wakati mangu anayesifika kuwashinda wenzake kwenye michezo ya ngoma, anajitapa. Yeye hujiita majina ya kuonesha kwamba anauwezo mkubwa kuwazidi wenzake, ili waendelee kumuogopa. Ndiyo maana yeye hujiita kwamba ni ‘mbugiaji wa upepo.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mwenye nguvu za kumwezesha kufanya kazi zile ziwezazo kumuondolea matatizo kwa haraka, maishani mwake. Mtu huyo, huyatelekeza majukumu yake ya kuwaongoza vizuri wenzake, ili waelewe namna ya kuyatatua matatizo yao, kwa kufanya kazi vizuri na kwa bidii.

Yeye hufanana na mbugiaji wa upepo, kwa sababu naye ananguvu za kuzitekeleza kazi zake vizuri hadi kuzimaliza. Kazi hizo, humsaidia katika kuyatatua vizuri matatizo yake. Ndiyo maana watu humwita kwamba, ni ‘mbugiaji wa upepo.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na nguvu za kuyatekelezea majukumu yao vizuri, ili waweze kupata mafanikio yawezazo kuwatatulia matatizo mbalimbali, maishani mwao.

Mathayo 27:45-54.

Marko 1:21-28.

Matendo ya mitume 16:2,

1Wathesalonike 4:11-12.

nkima ntumami

ntumami

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.