551. KALAGU – KIZE. ULU UDATUMILE LUKULUME ADUTUMAMA UNIMO:- SIMO.

Imbuki ya kalagu yiniyo, yilolile simu na lukulume. Isimo yiniyo, jiji ginhu ja gwiyombeja ulu yukandwa bho lukulume. Gashinaga lulu, ulu munhu adatumilile lukulume bho guikanda, idutumama unimo goyo. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘ulu udatumillie lukulume adutumama unimo:- Simo.’

Ikalagu yiniyo, yigalenganijiyagwa kuli  nhamhala uyo agaitongelaga chiza ikaya yakwe. Unhamhala ng’wunuyo, agabhapangilaga abhanhu bhakwe imilimo iya gutumama bhuli lushugu. Uweyi agabhalanjaga inzila ja gubhatongela chiza abhichabho, umukikalile kabho.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga nu lukulume ulo lugaikandaga isimo yatumama unimo goyo, kunguno nu weyi agaipangilaga milimo ikaya yakwe mpaga yang’wigwa chiza. Hunagwene uweyi agabhaganilaga abhanhu giki, ‘ulu udatumilile lukulume adutumama unimo:- Simo.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gudebha kubhatongela chiza abhanhu bhabho, bho gubhapangila milimo ya gutumama, kugiki bhadule gupandika matwazo mingi, umuwikaji bhobho.

Kutoka 20:12.

Mathayo 4:18-22.

Mithali 4:1-4.

KISWAHILI: KITENDAWILI     –    TEGA.

IKIWA HUTATUMIA KIDOLE HATAFANYA KAZI:- SIMU.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia Simu na kidole. Simu hiyo, ni chombo cha mawasiliano yanayofanyika baada ya kubonyezwa kwa kutumia kidole. Kumbe basi, mtu asipotumia kidole chale kukibonyeza, hakitafanya kazi yake. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘ikiwa hutatumia kidole hatafanya kazi:- Simu.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mzee yule ambaye, anafahamu kuiongoza vizuri familia yake. Mzee huyo, huwapangia watu wake kazi za kutekeleza kila siku. Yeye huwafundisha watu wake hao, namna ya kuongoza wenzao, katika maisha yao.

Mtu huyo, hufanana na kidole ambacho huiwezesha Simu kufanya kazi kwa kuibonyeza, kwa sababu naye huwapangia majukumu watu walioko kwenye familia yake, nao humwelewa na kuyatekeleza vizuri. Ndiyo maana yeye huwahadithia watu kwamba, ‘ikiwa hutatumia kidole hatafanya kazi:- Simu.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuelewa namna ya kuwaongoza watu wao, kwa kuwapangia majukumu ya kutelekeza, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani mwao.

Kutoka 20:12.

Mathayo 4:18-22.

Mithali 4:1-4.

simu

simu1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.