553. NDEGE YA HASI.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile Ndege iyo yili ya hasi. Indege yiniyo, idalalaga ung’wigulya guti umo jigalalilaga indege ijingi. Yiyoyi igapelelaga hasi pye amakanza gayo. Hunagwene abhanhu bhagiyiitanaga giki, ‘ndege ya hasi.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agitaga bhukengeji bhogudebha ijenheleja ja jito jitale ijo jigigelaga, umuchalo jakwe. Umunhu ng’wunuyo, agagatumilaga chiza amasala gakwe, mpaga obhupandika ubhunghana bho jito jinijo.

Uweyi agikolaga ni ndege ya hasi, kunguno nuweyi agabhucholaga ubhunghana bho musilili, kugiki abhanhu bhakije ugundebha igiki alikengela mhayo nhebhe. Hunagwene agiitanaga giki, ‘Ndege ya hasi.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gudebha gwita bhukengeji, ubho bhudulile gubhambilija ugubhudebha ubhunghana bho mihayo iyo igigelaga umuchalo jabho, kugiki bhadule gwikala  bho mholele na bhichabho, umukikalile kabho.

Mathayo 2:1-5.

Mathayo 2:16-17.

KISWAHILI: NDEGE YA CHINI.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia Ndege ambayo huwa chini. Ndiyo hiyo, hairuki kama zirukavyo ndege zingine. Yenyewe hukimbia ikiwa chini wakati wote. Ndiyo maana watu huiita kwamba ni ‘ndege ya chini.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya utafiti wa kumwezesha kuelewa chanzo cha matukio makubwa ya kijijjini kwake. Mtu huyo, hutumia vizuri akili zake zote, hadi anafikia hatua ya kupata ukweli wa tukio hilo lililotukia kijijini kwake.

Yeye hufanana na ndege ya chini, kwa sababu naye hufanya utafiti kwa kuchungua kisiri siri, chanzo cha matukio ya pale kijijini kwake. Yeye hufanya kazi hiyo chini chini, ili wengine wasiweze kumtambua kuwa anafuatilia tukio fulani la pale kijijini kwao. Ndiyo maana yeye hujiita kwamba ni ‘ndege ya chini.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuelewa namna ya kufanya utafiti wa kuwawezesha kuelewa chanzo cha matukio ya kwenye maeneo yao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, katika maisha yao.

Mathayo 2:1-5.

Mathayo 2:16-17.

ndege

ndege1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.