546. NGONGWA NDULA MAPOLU.

Imbuki ya kahayile kenako, yililola Ngongwa. Ungongwa gunuyo, gulinti gutale uyo gugazwaga ng’wipolu. Ilinti linilo, ligabhizaga ligakililile amanti pye ayo galihoyi, ung’wipolu linilo. Ilyoyi lilitale hangi lilidimu noyi. Hunagwene abhanhu bhagalitanaga giki, ‘Ngongwa ndula mapolu.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo, agajilanhanaga ijikolo ijo agajipandikaga bho gujisumbya, mpaka nose kushigila kubhiza nsabhi ntale. Umunhu ng’wunuyo, aidebhile isolobho ya ginhu ijidoo iyo jigamwambilijaga ujituula chiza bhuli jene, ijo alijipandika, umubhuchoji bhokwe.

 Uweyi agikolaga ni linti ilo ligazwaga lyakula mpaga yayikilila pye imiti iyingi, ung’wipolu linilo, kunguno nanghwe, agajisumbyaga isabho ijo agajipandikaga mpaga obhiza msabhi. Uweyi agabhalangaga na bhiye inzila ja gujilanhanila chiza isabho ijo bhagajipandikaga, umubhuchoji bhobho. Hungwene abhanhu, bhagang’witanaga giki, ‘Ngongwa ndula mapolu.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gujisumbya chiza isabho jabho ijo bhagajipandikaga, umubhuchoji bhobho, kugiki bhadule kupandika sabho ja gubhambilija chiza, umuwikaji bhobho.

Mathayo 17:14-20.

Marko 4:30-32.

Matendo ya mitume 5:14-16.

KISWAHILI: MGONGWA HUZINDUA POLI.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia Mgongwa. Mgonjwa huo, ni mti mkubwa unaota polini. Mti huyo, hukuwa mpaka kuwa mti mrefu kupita miti yote iliyomo humo polini. Mwenyewe huwa unakuwa mti mkubwa na mgumu sana. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Mgongwa huzindua poli.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule, ambaye hukusanya na kutunza vitu anavyovipata, mpaga anafikia kiwango cha kuwa tajiri mkubwa. Mtu huyo, anaifahamu faida ya kutunza kitu kidogo, inayomsaidia kukitunza vizuri kila anachokipata, katika utafutaji wake.

Yeye hufanana na mti unaoota na kukua mpaka ukawa mrefu kupita mingine polini ulimo, kwa sababu naye, hukusanya na kuvitunza vitu anavyovipata mpaka anakuwa tajiri. Yeye huwafundisha hata wenzake, namna ya kuzitunza vizuri mali wanazozipata, katika utafutaji wao. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘Mgongwa huzindua poli.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzitunza vizuri mali wanazozipata katika utafutaji wao, ili waweze kupata mali yingi ya kuwasaidia vizuri katika maisha yao.

Mathayo 17:14-20.

Marko 4:30-32.

Matendo ya mitume 5:14-16.

ipolu

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.