547. GWENHA NGUZU JA NTONDO.

Imbuki ya kahayile kenako, yingilile ku wenghi bho nguzu. Inguzu jinijo, jigatumamaga milimo mitale ulu jitale jili ningi. Aliyo lulu, ulu jugeha jigenhagwa jingi nulu jigongejiyagwa jingi, kugiki unimo gunuyo, gutumamwe hatale. Hunagwene abhanhu ulu bhugehya nguzu, bhagayombaga giki, ‘gwenha nguzu ja ntondo.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo na gwisuya ulu onoga. Umunhu ng’wunuyo, aganguhaga uguja ukumilimo yakwe, ogatumama mpaga oyeka. Ulu oyeka chiniko, agongejaga inguzu jingi ijagutumamila milimo yakwe aha ntondo, bho gwisuya chiza.

Umunhu ung’wunuyo, agagulanghanaga chiza umili gokwe, bho gulya jiliwa, kugiki adule gupandika nguzu ja gumwambilija guitumama imilimo yakwe, mpaga oho alanogele. Ulu unoga uweyi agisuyaga kugiki ongegeje inguzu ja gutumamila milimo yakwe aha shigu ijo jizile. Hunagwene ulu uhaya gwisuya agayombaga giki, ‘gwenha nguzu ja ntondo.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya kupandika makanza ga gwisuya ulu bhanoga uguitumama imilimo yabho, kugiki bhadule gongeja nguzu ja guitumamila imilimo yabho yiniyo hatale, aha shigu ijizile.

Mwanzo 2:1-7.

Kutoka 20:9-11.

Waebrania 4:4.

Wabrania 4:9-10.

KISWAHILI: KULETA NGUVU ZA KESHO.

Chanzo cha msemo huo, chatokea kwenye uongezaji wa nguvu. Nguvu hizo, ndizo zinazofanya kazi kubwa, zikiwa bado nyingi. Lakini basi, zikipungua, huletwa zingine. Ndiyo maana watu wakiona kwamba wameishiwa nguvu, huhitaji, ‘kuleta nguvu za kesho.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi zake kwa bidii, akishoka hupumzika. Mtu huyo, huwahi kwenda kazini kwake, ambako hufanya kazi mpaka anachoka. Akichoka hivyo, huziongezea nguvu zingine, ambazo ni za kufanyia kazi katika wakati ujao, kwa kupumuzika.

Mtu huyo, huutunza vizuri mwili wake, kwa kuulisha chakula kinachoutosha, ili aweze kupata nafasi ya kukusanya nguvu za kumsaidia katika kuzitekeleza vizuri kazi zake. Yeye akichoka, hupumzika ili aweze kuongeza nguvu za kufanyia kazi kwenye siku za mbeleni. Ndiyo maana yeye akichoka kufanya kazi zake, huhitaji, ‘kuleta nguvu za kesho.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kutenga muda wa kupumzika kila wanapochoka kuyatekeleza majukumu yao, ili waweze kuongeza nguvu za kufanyia kazi hizo, kwenye siku za mbeleni.

Mwanzo 2:1-7.

Kutoka 20:9-11.

Waebrania 4:4.

Wabrania 4:9-10.

gambia-kaya

gambia-bhakima

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.