548. KALAGU – KIZE. KABHULA ALILILA NG’OMA JILITULWA TALA JILIBHAKA:- JULUNDUMO JA MBULA NA LUKUBHA.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola ikanza lya mbula iyo ilitula na lukubha. Imbula ulu ilitula chiniko, igitagulaga mingi ayo gagabhizaga guti yilihuluma gwiza kutula. Ubhuhurumi bhunubho, bhugikolanijiyagwaw na gulila goyo. Iyoyi igagigimaga yiikola na ng’oma ijo jilitulwa, na igalabhaga yiikola na tala ijo jilibhaka. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘kabhula alilia ng’oma jilitulwa tala jilibhaka:- Jilundumo ja mbula na lukubha.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli nkima uyo agatumamaga milimo mingi, umukikalile kakwe. Unkima ung’wunuyo, agipunaga dilu gujila mingi, ogashoga, na kuja gujuchola makubhi, na ng’hwi ja guzugila.

Unkima ng’wunuyo, ulu wengha inghwi, agapembaga moto na gwandya gubhazugila abhanhu bhakwe. Ulu ubisha ijiliwa jinijo, agabhatengelaga abhanhu, bhalya, uweyi agajijilaga ijisema na gwandya gujoja.

Umayu ng’wunuyo, agajaga gujufula myenda, ulu omala ugoja ijisema jakwe. Ulu ogashoka koyi, wandya goja bhanigini, na guja gujushelwa na yingi mingi. Kwa hiyo lulu, unkima ng’wunuyo, agatumamaga milimo mingi, ahakaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘kabhula alilia ng’oma jilitulwa tala jilibhaka:- Jilundumo ja mbula na lukubha.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gwilanga gutumama milimo mingi ahakaya jabho, kugiki bhadule gupandika matwazo mingi, umukikalile kabho.

KISWAHILI: KITENDAWILI     –     TEGA.

KABULA ANALIA NGOMA ZINAPIGWA TAA ZINAWAKA:- NGURUMO YA MVUA YENYE RADI.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia wakati wa mvua yenye radi inaponyesha. Mvua ikinyesha hivyo, humwaga maji mengi hambayo hupiga kelele kama muungurumo wa mvua inayokuja. Yenyewe huunguruma hali inayofanana na Ngoma zinayopigwa, na hutoa mwanga unaofananishwa na taa zinazowaka. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘kabula analia ngoma zinapigwa taa zinawaka:- ngurumo ya mvua yenye Radi.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mwanamke anayefanya kazi nyingi, katika mwenendo wake wa maisha, ndani ya familia yake. Mwanamke huyo, hujilawa asubuhi kwenda kuchota maji, akirudi huko, huenda kutafuta mboga, na kuni za kupikia.

Mwanamke huyo, akileta kuni, huwasha moto na kuanza kuwapikia chakula watu wake, waliyoko kwenye familia yake. Akiivisha chakula hicho, huwawekea watu wake mezani chakula hicho. Watu wakimaliza kula, mama huyo huenda kuondoa vyomba vyake na kuanza kuviosha.

Mama huyo, huenda kuosha nguo, baada ya kumaliza kuviosha vyombo vyake. Akimaliza kazi hizo, huanza kufanya kazi zingine zikiwemo zile za: kwenda kusaga nafaka mashineni, au anasaga yeye mwenyewe, kuosha watoto, na zingine nyingi. Kwa hiyo basi, mwanamke huyo, hutekeleza makukumu mengi sana, kwenye familia yake. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘kabula analia ngoma zinapigwa taa zinawaka:- ngurumo ya mvua yenye Radi.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuwa na uelewa wa kuyatekeleza majukumu mengi, katika familia zao, ili waweze kufikia hatua ya kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

lightning1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.