544. JILUTULA MBANGA.

Imbuki ya kahayile kenako, yingile ku jisumva ijo jili na nguvu umukikalile kajo. Ijisumva jinijo, jigabhitaga hose hose, kunguno ya nguvu jajo. Hunagwene abhanhu bhagajitanaga giki, ‘jilutula mbanga.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu, uyo agatumamaga milimo midimu, bho wiyumilija mpaga oyimala. Umunhu ng’wunuyo, adulile nulu gusenga ipolu lya manti matale, mpaka upandika ngunda goguyulima hoyi jiliwa. Uweyi agalimaga migunda mitale, iyo idulile gubhalisha bhanhu bhingi, umuwikaji bhobho.

Umunhu ng’wunuyo, agabhizaga jigemelo ukubhiye ja gutumama milimo bho bhukamu bhutale, kunguno ya bhukalalwa bhokwe ubho gutumama milimo bho gwiyambilija chiza na bhiye. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, ‘jilutula mbanga.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gujitumila inguzu jabho bho gwigulambija gutumama milimo yabho, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho, umukikalile kabho.

Kutoka 7:8-13.

1Wafalme 18:20-39.

Matendo ya mitume 8:9-25.

KISWAHILI: BINGWA WA MAPAMBANO.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia kiumbe kile ambacho kina nguvu, maishani mwake. Kiumbe hicho, hupita popote pale kwa sababu ya nguvu zake hizo. Ndiyo maana watu hukiita ‘bingwa wa mapambano.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye, hufanya kazi ngumu kwa uvumilivu hadi kuzimaliza. Mtu huyo, anaweza hata kufyeka poli lenye miti mikubwa, mpaka akapata shamba la kulimia mazao yake. Yeye hulima mashamba makubwa, ambayo humwezesha kuwalisha watu wengi, katika maisha yake.

Mtu huyo, huwa ni mfano wa kuigwa na wenzake katika utekelezaji wa majukumu yao, kwa sababu ya kupenda kwake kufanya kazi kwa kusaidiana na wenzake. Ndiyo maana watu humwita, ‘bingwa wa mapambano.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuzitumia nguvu zao kwa kusaidiana katika utekelezaji wa majukumu yao, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, katika maisha yao.

Kutoka 7:8-13.

1Wafalme 18:20-39.

Matendo ya mitume 8:9-25.

ferry-of zambia

worker1

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.