540. LYAMOLOLO.

Imbuki ya kahayile kenako, yingilile kujisumva ijo jili na mololo umumili gojo. Amololo genayo, gali malonda gapilile, ayo jagapandika ijisumva jinijo, kunguno ya nguzu jajo, ijo jidahebhagwa na oseose. Ijoyi jidulile gutumama milimo mingi bho nguvu mpaga guimala. Hunagwene abhanhu bhagajitanaga giki, ‘lwamololo.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ali na nguzu ja gutumama milimo yakwe chiza, mpaga guyimala. Umunhu ng’wunuyo, agigulambijaga uguitumama imilimo yiniyo, bho wangu wangu, na guimala chiza aha kaya yake.

Uweyi agikolaga ni lyamololo, kunguno nanghwe ali na nguzu ja gudula gung’wenhela bhupandiki wingi, umuwikaji bhokwe. Uwikaji bhokwe bhunubho, bhugabhambilijaga abhiye ugongeja bhukamu bho kutumama milimo yabho. Hunagwene abhanhu bhagang’witanaga giki, ‘lwamololo.’

Akahahile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gongeja nguzu ja guitumama bho bhukama bhutale imilimo yabho, kugiki bhadule ugujibheja chiza ikaya jabho, umuwikaji bhobho.

Kutoka 2:11-15.

Waamuzi 15:11-16.

1Wafalme 11: 15-16.

KISWAHILI: LENYE MAKOVU.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia kiumbe chenye makovu mwilini mwake. Makovu hayo, ni madonda yaliyopona ambayo yalitokana na kiumbe hicho kuwa na nguvu za kutoshindwa na chochote. Kiumbe hicho, kinaweza kufanya kazi nyingi mpaka kuzimaliza. Ndiyo maana watu hukiita ‘lenye makovu.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mwenye nguvu za kufanya kazi vizuri, mpaka kuzimaliza. Mtu huyo, hujibidisha kuzitekeleza kazi zake hizo kwa haraka, hadi kuzikamilisha katika familia yake.

Yeye hufanana na lenye makovu, kwa sababu naye ana nguvu za kumwezesha kujiletea mafanikio mengi, katika maisha yake. Maisha yake hayo, huwasaidia pia wenzake katika kuongeza bidii za kuyatekeleza vizuri, majukumu yao. Ndiyo maana watu humwiita kwamba yeye ni ‘lenye makovu.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuongeza nguvu za kuyatekeleza kwa bidii kubwa na vizuri, majukumu yao, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao, maishani mwao.

Kutoka 2:11-15.

Waamuzi 15:11-16.

1Wafalme 11: 15-16.

mozambique-milimo

king-arthur-

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.