514. DILU GUSULUJA MHINDI GUBHALA.

Imbuki ya kahayile kenako ilolile bhujinja bho bhasuluja bha ginhu josejose. Ulu wela ubhujiku abhanhu bhenabho bhagabhukaga dilu bhandya gusuluja jikolo mpaga mhindi. Ulu yushiga inhimbi yiniyo, abhoyi bhagigashaga bhandya gujibhala ihela ijo bhajipandikaga. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘dilu gusuluja imhindi gubhala.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agigulyambijaga gwichobhela milimo bho njila ningi umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo bhugelaga ubhujiku wanguha kuja gujutumama milimo yakwe bhuli lushigu. Alemile ugulijimija sagala ilikanza lyakwe. Uweyi agikolaga n’unsuluja, uyo agacholaga sabho umulikanza lya limi, kugiki ibhujiku adule gwifula na gujibhala ijo ojipandikaga, kunguno n’uweyi agatumamaga bho bhukamu bhutali imilimo yakwe. Uweyi agabhalanjaga na bhiye ubhukamu bho guitumama chiza imilimo yabho yiniyo. Hunagwene agabhawilaga abhanhu giki, ‘dilu gusuluja imhindi gubhala.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu gukomeja gutumama milimo umumakanza aga limi, kugiki bhadule gupandika matwajo mingi, umuwikaji bhobho bhunubho.

(Mathayo 7:7-12; Mathayo 13:44-46; Luka 11:9-11).

KISWAHILI: ASUBUHI BIASHARA JIONI MAHESABU.

Chanzo cha msemo huu chaangalia uuzaji wa kitu chochote wa wafanyabiashara. Wafanyabiashara hao huamka asubuhi na kwenda kuuza bidhaa zao mpaka jioni. Ukifika muda huo wa jioni, hutulia kwao na kuanza kuhesabu pesa walizopata siku hiyo. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘asubuhi biashara jioni mahesabu.’

Msemo huu hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hujitafutia mali kwa bidii kwa kutumia njia mbalimbali katika maisha yake. Mtu huyo huamka mapema asubuhi na kuwahi kwenda kazini kwake kila siku. Hataki kupoteza muda wake ovyo. Yeye hufanana na mfanyabiashara yule atafutaye mali muda wa mchana, ili usiku aweze kuhesabu pesa alizozipata, kwa sababu naye hufanya kazi zake kwa bidii wakati wa mchana, na usiku hufanya tathimini ya yote aliyoyatekeleza mchana. Yeye huwafundisha pia wenzake kufanya kazi zao vizuri na kwa bidii. Ndiyo maana huwambia watu kwamba ‘asubuhi biashara jioni mahesabu.’

Msemo huu hufundisha watu kufanya kazi zao kwa bidii kubwa wakati wa mchana, ili waweze kupata mafanikio mengi maishani mwao.

(Mathayo 7:7-12; Mathayo 13:44-46; Luka 11:9-11).

fish-market

fish-market1

ENGLISH: MORNING TIME IS FOR BUSINESS AND EVENING TIME IS FOR ACCOUNTING.

The origin of this saying is the traders’ sales of anything. The traders get up in the morning to go and sell their products until evening time. During evening time, the trader settles down and starts counting the money they earned that day. That is why people say, ‘Morning time is for business and evening time is for acounting.’

The saying is used comparatively to refer to a person who works hard in various ways throughout his/her life to get wealth. This person wakes up early in the morning and goes to work every day. He/she does not want to waste time. He/she is like the trader works harder during day time so that he/she rests by night and counts the money he/she has earned, because he/she also works hard during the day and at night makes an assessment of all that he/she has accomplished by the day. He/she also teaches others to do their jobs well and diligently. That is why he/she tells people, ‘Morning time is for business and evening time is for acounting.’

The saying teaches people to work hard during day time so that they can register more success in their lives.

(Matthew 7: 7-12; Matthew 13: 44-46; Luke 11: 9-11).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.