512. WAMBA GUDUHU.

Imbuki ya kahayile kenako yilolile litina lya ng’halanga, ilo lili litale aliyo litina bhana umugati yalyo. Ilitina lyinilo liganzaga ibala itale, aliyo umugati yalyo nduhu amatwajo ayo gajilanijije n’ubhutale bholyo. Ilyoyi lilitale aliyo litina bhana umugati yalyo. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘wamba guduhu’.

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alintale aliyo adina masala. Umunhu ng’wunuyo ubho gunhola umili gokwe, gulintale aliyo amasala gakwe gabhizile guti ga nigini. Uweyi wikolile ni litina ilitale ilya ng’halanga, ilo liti na bhana, kunguno ali munhu ntale, aliyo adina masala.

Umunhu uyo adina masala agaguyilang’hanila ikaya yakwe, bhuli ng’wene agijilaga duhu hoyi. Abhazenganwa bhakwe habho bhagabhalanjaga abhanhu bhakwe ugwikala chiza na bhanhu, kunguno bhadebhile igiki uweyi alintale, aliyo amasala nduhu. Hunagwene bhagang’wilaga giki, ‘wamba guduhu.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu gubhiza na miito gawiza, ayo gajilanijije na kakulile kabho, kugiki bhadizubhiza bhatale, aliyo amiito gabho gali gasagala. Amiito genayo gagiganikilagwa giki, galigabhugayiwa bho masala.

(Mathayo 5:13-16; Yahane 8:31-32; Mithali 8:5-12).

KISWAHILI: UMESTAWI PASI NA KITU.

Chanzo cha msemo huu chaangalia shina la karanga, ambalo ni kubwa lakini halina watoto ndani yake. Shina hilo hutambaa sehemu kubwa, lakini ndani yake huwa halina matunda yanayolingana na ukubwa wake. Lenyewe ni kubwa, lakini halina watoto ndani yake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘umestawi pasi na kitu.’

Msemo huu hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni mkubwa, lakini hana akili. Mtu huyo ni mkubwa kwa kumwangalia, lakini akili yake ni kama ya mtoto mdogo. Yeye hufanana na shina la karanga ambalo ni kubwa, lakini halina watoto ndani yake, kwa sababu naye ni mkubwa, lakini hana akili.

Mtu huyo hana akili za kuendeshea familia yake, kwa sababu kila mmoja hujiendea mwenyewe tu. Majirani zake ndio huwafundisha watu wa familia yake namna ya kuishi vizuri na watu, kwa sababu wao wanamfahamu kwamba yeye ni mkubwa, lakini hana akili. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘umestawi pasi na kitu.’

Msemo huu chafundisha watu kuwa na matendo mema yanayoendana na kukua kwao, ili wasiwe wakubwa, lakini matendo yao yakawa ya ovyo. Matendo hayo ya ovyo hufikiriwa kwamba ni ya wale waliookosa akili.

(Mathayo 5:13-16; Yahane 8:31-32; Mithali 8:5-12).

nhalanga1

groundnuts

ENGLISH: BIG FOR NOTHING.

The origin of this saying a peanut plant that is large, but has no nuts under it. The plant, however, covers a large part of the ground, but has no yield at all. It is large, but has nothing under it. That’s why people say, ‘Big for nothing.’

The saying is compared to a person who has grown big, but with no brains. The person looks big, but his/her brains are like that of a small child. He/she is like that large without nuts, because he/she is big, but no brains.

That person lacks mental ability to run his/her family properly, because each of the family members goes their own way. The neighbors are the ones who teach the children to relate well with others, because they know that the family head is big for nothing. That is why people call him/her, ‘Big for nothing.’

This saying teaches people about doing good deeds that are related to their growth, so that they do not become big for nothing.

(Matthew 5: 13-16; Yahane 8: 31-32; Proverbs 8: 5-12).

Leave a comment

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.