511. KALAGU – KIZE. NUMBA YANE ILI NA NG’HINGI IMO:- B’OB’A.

Imbuki ya kalagu yiniyo ilolile kigelele ka b’ob’a. Ub’ob’a jili ginhu ijo jigazwaga hasi jimila zigi, guti ng’hingi. Ijoyi jigazwaga mumakanza ga jidiku ulu yutula mbula nhale, kunguno ya fulo ya mbula yiniyo. Giko lulu, jigikolanijiyagwa na numba ya ng’hingi, kunguno jigimilaga chiza zigi guti ni ng’hingi. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘numba yane ili na ng’hingi imo’ bhashosha giki ‘B’ob’a’.

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina bhushikanu bho gwima zigi umu bhuzunya bhokwe, nu mukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, alemile ugushoka numa, nulu uguchalanijiwa na mahuli, umukikalile ka bhuzunya bhokwe.

Uweyi agimaga zigi umubhukamu bho gutumama milimo yakwe. Agawikalanaga ubhung’hana bho gwikala na bhanhu chiza umugunamya Unsumbi wi Gulu na Nsi.

Agikolaga ni ng’hingi iyo igilang’hanaga inumba ngima, iya b’ob’a, kunguno nang’hwe wimilile zigi umubhuzunya n’umukikalile kakwe. Agabhalanjaga na bhiye nzila ja gwima zigi pye amakanza umubhuzunya nu mukikalile akabhuli lushigu. Hunagwene agabhaganilaga abhanhu giki, ‘numba yane ili na ng’hingi imo’ bhashosha, ‘B’ob’a.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu gwima zigi umubhuzunya bhobho n’umukikalile kabho, kugiki bhadule gushika ng’wigulu. Yigelelilwe bhabhize higiki makanza gose aga wikaji bhobho, kugiki bhadizubhiza bhadedelehu umuguzunya gobho.

(1Wakorintho 3:11-12; Waefeso 6:10-17; Yakobo 1:1-4).

KISWAHILI: KITENDAWILI   –   TEGA: NYUMBA YANGU INA NGUZO MOJA – UYOGA

Chanzo cha kitendawili hiki chaangalia mwonekano wa uyoga. Uyoga ni mmea unaoota chini, na kusimama imara kama nguzo. Wenyewe huota kipindi cha masika zinaponyesha mvua kubwa, kwa sababu ya unyevu. Uyoga hufananishwa na nguzo, kwa sababu ya kusimama kwake imara kama nguzo. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘nyumba yangu ina nguzo moja’ na kujibu, ‘Uyoga’.

Kitendawili hiki hufananishwa kwa mtu yule ambaye ana ukomavu wa kusimama imara katika imani, na katika maisha yake. Mtu huyo, huwa hataki kurudi nyuma wala kuyumbushwa na mawimbi ya namna mbalimbali katika maisha na imani yake.

Yeye husimama imara katika utekelezaji wa majukumu yake. Hivyo, mtu huyo huuishi ukweli kwa kuishi na watu vizuri katika kumwamini Muumba wa Mbingu na Dunia.

Ndiyo maana yeye hufanana na nguzo inayoilinda nyumba ya uyoga, kwa sababu naye husimama imara katika imani yake na maishani mwake. Yeye pia huwafundisha watu wengine kuwa imara siku zote katika imani yao na maishani mwao. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘nyumba yangu ina nguzo moja’ na kujibu, ‘Uyoga.’

Kitendawili hiki hufundisha watu kusimama imara katika imani yao kwa Muumba wao, ili waweze kufika mbinguni. Yafaa watu hao wawe macho wakati wote wa maisha yao, ili wasije wakawa walegevu katika imani yao.

(1Wakorintho 3:11-12; Waefeso 6:10-17; Yakobo 1:1-4).

bhobha

bhobha1

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME: MY HOUSE HAS ONE PILLAR – A MUSHROOM.

The origin of this riddle is the appearance of mushrooms. Mushrooms are fungi that grow on the ground, and stand like pillars. They usually grow during rainy season when it rains heavily, because of the soil moisture. They are likened to pillars because they stand strongly on the ground like pillars. That is why people pose a riddle, ‘My house has one pillar’ and reply, ‘A mushroom’.

This riddle is used to liken the mushroom to a person who is mature in terms of religious faith and stands firm to it in his/her life. Such a person does not turn his/her back. Neither is his/her faith swayed by any kinds of waves.

He/she stands firm in discharging his/her duties. Thus, he/she lives the truth by relating well with others while having confidence in the Creator of Heaven and Earth. That is why he/she is like a pillar supporting the mushroom, because he/she too stands firm in his/her faith and in his/her life. The person also teaches others about always being strong in their faith and in life. That is why people pose this riddle, ‘My house has one pillar’  and reply, ‘A mushroom.’

This riddle teaches people about standing firm in their faith and having confidence in their Creator, so that they can be received in heaven. It is necessary for such people to be vigilant for the rest of their lives, lest they become weak in their faith.

(1 Corinthians 3: 11-12; Ephesians 6: 10-17; James 1: 1-4).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.