509. KALAGU – KIZE. NULU ALIMUMAKOYE AGIGETAGA DUHU:- BHAMBU.

Imbuki ya kalagu yiniyo ilolile bhambu. Ibhambu igasiminzaga bho gugendela ukunu ilikagijakagija. Umukasiminzile kenako, igabhizaga giti idina bhobha bhosebhose umugubhiza guti ili iligeta chiniko, aliyo ilimumakoye. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘nulu alimumakoye agigetaga duhu’ bhashosha, ‘Bhambu’.

Ikalagu yiniyo igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo yakwe bho gwideta chiza na wiyumilija bhutale umukikalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo agatumamaga milimo yakwe bho gwiyumilija mpaka opandika matwajo mingi, ayo gadulile gung’wambilija ijinaguyibheja chiza ikaya yakwe.

Uweyi agaidetaga chiza imilimo yiniyo guti nakasiminzile akabhambu, kunguno nang’hwe adibamkilagwa duhu. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘nulu alimumakoye agigetaga duhu’ bhashosha, ‘Bhambu.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu guitumama imilimo yabho bho bhushikanu na wiyumilija bhutale, kugiki bhadule kupandika matwajo mingi ayo gikomile gubhambilija ugujibheja chiza ikaya jabho.

(Wafilipi 2:5-11; Mathayo 10:22)

KISWAHILI: KITENDAWILI –  TEGA: HATA AKIWA HATARINI HUTEMBEA KWA MADAHA TU – KINYONGA.

Chanzo cha kitendawili hiki chaangalia kinyonga. Kinyonga hutembea kwa kusitasita, hali ambayo hufananishwa na utembeaji wa madaha. Utembeaji wake huo humfanya aonekane kama hana woga wowote ule, kwa sababu ya madaha yake hayo. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘hata akiwa hatarini hutembea kwa madaha tu’ na kujibu, ‘kinyonga’.

Kitendawili hicho chalinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi zake kwa kutafakari vizuri, na kwa uvumilivu wa hali ya juu maishani mwake. Mtu huyo hufanya kazi zake kwa uvumilivu, hadi anapata mafanikio mengi yawezayo kumsaidia katika kuiendeleza vizuri familia yake.

Yeye huzifikiria kwa makini kazi zake hizo, kama atembeavyo kinyonga, kwa sababu naye hakurupuki tu na kuanza kufanya kazi fulani. Ndiyo maana watu hutegeana vitendawili kwamba, ‘hata akiwa hatarini hutembea kwa madaha tu’ na kujibu, ‘kinyonga’.

Kitendawili hicho hufundisha watu kuyatekeleza majukumu yao kwa ukamilifu na uvumilifu wa hali ya juu, ili waweze kupata mafanikio mengi yanayotosha kuwasaidia katika kuziendeleza vizuri familia zao.

(Wafilipi 2:5-11; Mathayo 10:22).

bhambu1

chameleon

 

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME: EVEN IN TIMES OF DANGER, SHE STILL MOVES WITH POISE – CHAMELEON.

The origin of this riddle is the movement of a chameleon. The chameleon moves in a hesitant manner, a movement that is likened to composure. This movement makes the chameleon look as if it is fearless; all because of the poise. That is why people pose a riddle that, ‘Even in times of danger, she still moves with poise’ and reply, ‘chameleon.’

This riddle is used comparatively to refer to a person who carries out his/her duties with great thought, and with the utmost patience in life. The person patiently performs his/her duties until he/she achieves notable success for the family wellbeing.

He/she pays attention to his/her activities, as how the chameleon walks, because he/she does not just jump to start doing some work. That is why people pose a riddle, ‘Even in times of danger she still moves with poise’ and reply ‘chameleon.’

This riddle teaches people about how to fulfill their duties with the highest possible quality and patience, so that they can achieve notable success enough to help them better manage their families.

(Philippians 2: 5-11. Matthew 10:22).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.