505. KALAGU – KIZE. UKUNUMA NSULULU N’UKUBHUTONGI NSULULU:- LIWINGA.

Imbuki ya kalagu yiniyo yilolile wingi bho bhanhu ha liwinga. Ahawinga bhagikalaga bhalihoyi bhanhu bhingi abho bhayegile. Bhagimbaga na gutambila, ukunu bhali mbita nhale abho bhagamanaga bhuyunja na gutula mhundu. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘ukunuma nsululu nukubhutongi nsululu’ bashosha giki ‘liwinga’.

Ikalagu yiniyo igalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagikalaga halumo bho ng’wigwano gutale. Abhanhu bhenabho bhagiyambilijaga kihamo umumakanza ga bhuyeji bhobho.

Abhoyi bhagikalaga nsululu guti go hawinga, kunguno na abhoyi bhagiyambilija bho bhuyeji umukikale kabho. Bhagabhalanjaga na bhichacho, gwiyambilija uguitumama imilimo yabho yiniyo. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘ukunuma nsululu n’ukubhutongi nsululu’ bhashosha, ‘liwinga.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu  gutumama milimo yabho halumo, kugiki bhadule ugujibheja chiza ikaya jabho. Ubhulihamo bhunubho bhugubhambilija ijinagupandika matwayo mingi, umuwikaji bhobho na gwendelea guyega kihamo.

(Marko 10:1-10; Yohane 2:1-12; Mathayo 15:32-39).

KISWAHILI: KITENDAWILI  – TEGA: NYUMA MSURURU NA MBELE MSURURU – HARUSI.

Chanzo cha kitendawili hiki ni wingi wa watu harusini. Harusini mara nyingi huwa na watu wengi sana, ambao hufurahia kwa namna mbalimbali. Wengine huimba na kucheza, na wengine hupiga vigelegele huku wakitamba kwa namna mbalimbali, katika umati huo mkubwa. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘nyuma msururu na mbele msururu’ na kujibu, ‘Harusi’.

Kitendawili hicho chalinganishwa kwa watu wale ambao huishi katika umoja wa kuelewana kwa kiwango kikubwa. Watu hao husaidiana kwa pamoja katika kuyatekeleza majukumu yao ya kila siku, kwa furaha. Huendelea kuzijenga familia zao kwa ushirikiano mzuri.

Watu hao hulingana na msururu wa watu walioko kwenye harusi, kwa sababu ya umoja wao wa kusaidiana katika kuyatekeleza vizuri majukumu yao. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘nyuma msururu na mbele msururu’ na kujibu, ‘harusi.’

Kitendawili hicho chafundisha watu kufanya kazi zao kwa ushirikiano, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao. Ushirikiano huo utawasaidia katika kupata mafanikio mengi maishani mwao, na kuendelea kufurahi kwa pamoja pale wanapoishi.

(Marko 10:1-10; Yohane 2:1-12; Mathayo 15:32-39).

africa wedding

bhitoji

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME: THERE IS A QUEUE AT THE BACK AND AT THE FRONT – A WEDDING.

The origin of this riddle is the mass of people at a wedding. In most cases, there will be many people, who enjoy it in various ways. Some sing and ululate, while others clap and dance in different forms, in a large crowd. That’s why people pose a riddle that ‘there is a queue at the back and at the front’ and reply, ‘a wedding.’

This riddle is use in comparison to refer to those people who live in unity and great harmony. These people help each other in fulfilling their daily tasks happily together. They continue to build their families cooperatively.

These people are, in fact, like a queue of people at a wedding, because of their unity in helping each other in fulfilling their responsibilities. That is why people pose a riddle that ‘there is a queue at the back and at the front’ and reply, ‘a wedding.’

This riddle teaches people about working together, so that they can better their families. Such cooperation will help them achieve notable success in their lives, and continue to enjoy their common life.

(Mark 10: 1-10; John 2: 1-12; Matthew 15: 32-39).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.