506. KALAGU – KIZE. NG’WIMEJI ONE NGINU NO, DINGILI DINGILI MUMHO WIGUSHA:- BOLI.

Imbuki ya kalagu yiniyo yilolile ginhu ijo jigitanagwa boli. Iboli lili liginhu libhilingu. Ulu lyushindilwa mpaga lyokala myuyi, ligidamagukaga ulu lyatalijiwa hasi lyita, ‘dingili dingili’. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga gigi, ‘ng’wimeji one nginu no, dingili dingili mumho wigusha’ bhashosha, ‘Boli.’

Ikalagu yiniyo igalenganijiyagwa kubhanhu abho bhagatumilaga solobho ya wimeji bhobho, bho gubhalunguja abhichabho abho bhali mumayange. Abhanhu bhenabho bhagadulaga nulu gubhasesha abhanhu abho bhali na mayange.

Abhanhu bhenabho, bhagabhutumilaga uwimeji bhobho bho gubhambilija abhichabho uguitumama na bhuyegi imilimo yabho. Akikalile kabho kenako kagabhalunguja abhichabho abho bhali mumayange na gubhinha nguzu ja kuitumama milimo yabho bhobhuyegi. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘ng’wimeji one nginu no, dingili dingili mumho wigusha’ bhashosha, ‘Boli.’

Ikalagu yiniyo yalanga bhanhu gubhutumila uwimeji bhobho bho gwilunguja ahikanza lya mayange, na gwikomeleja gutumama milimo yabho bhobhuyegi, kugiki bhadule gujibheja chiza ikaya jabho.

(Waefeso 4:1-7; 2Wakorintho 2:1-3; Mathayo 10:16-22; 1Wakorintho 9:22-23).

KISWAHILI: KITENDAWILI  –  TEGA: MTANI WANGU NI MNENE MNO DINGILIDINGILI NDIKO KUCHEZA KWAKE – MPIRA.

Chanzo cha kitendawili hiki chaangalia kitu kiitwacho mpira. Kwa kawaida, mpira ni mkubwa, sawa na kitu kinene na ni wa mviringo. Ukijazwa upepo na kuachiwa chini, hudundadunda pale chini ukitoa sauti ya ‘dingilidingili’. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘mtani wangu mnene mno dingilidingili ndiko kucheza kwake’ na kujibu, ‘mpira’

Kitendawili hicho chaangalia watu wale ambao huutumia utani wao kwa faida ya kuwafariji wenzao walio katika matatizo mbalimbali. Watu hao wenye utani huweza hata kuwachekesha watu hao walio katika matatizo.

Watu hao huutumia utani wao kwa kuwasaidia wenzao katika kuyatekeleza vizuri majukumu yao. Maisha yao huwafariji wenzao walioko kwenye matatizo mbalimbali, kwa kuwapatia furaha ya kuzitekeleza kazi zao. Ndiyo maana watu hutegeana kitendawili kwamba, ‘mtani wangu ni mnene mno, dingilidingili ndiko kucheza kwake’ na kujibu, ‘Mpira’.

Kitendawili hicho hufundisha watu kuutumia utani wao katika kufarijiana wakati wa shida, na kuhimizana kufanya kazi katika kuyatekeleza kwa furaha majukumu yao ya kila siku, ili waweze kuziendeleza vizuri familia zao.

(Waefeso 4:1-7; 2Wakorintho 2:1-3; Mathayo 10:16-22; 1Wakorintho 9:22-23).

 

soccer-ball.png

african-players

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME: MY JOKER IS TOO FAT, THUMP-RINGING IS HOW HE PLAYS – A BALL.

The origin of this riddle is something called a ball. A ball is usually big and round. When pressurised and released to the ground, it bounces and makes a tump ringing sound. That is why people pose ariddle that, ‘my joker is too fat, thump-ringing is how he plays and reply, ‘A ball.’

The riddle is used with reference to those people who use their jokes for the benefit of others in various problems. Such people may even make fun of their people in difficult situations.

These people use their jokes to help their peers in fulfilling their responsibilities. Their lives give comfort to others who are in various forms of sufferings, giving them the joy of doing their work with happiness. That is why people pose a riddle, ‘My joker is too fat, thump-ringing is how he plays’ and reply, ‘a ball.’

This riddle teaches people to use their jokes in comforting one another in times of difficulty, and encouraging one another to work happily in their daily responsibilities, so that they can better the wellbeing of their families.

(Ephesians 4: 1-7; 2 Corinthians 2: 1-3; Matthew 10: 16-22; 1 Corinthians 9: 22-23).

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.