Imbiki ya kalagu yiniyo, ililola bhogi bho ngoko. Ingoko yiniyo, igogaga bho gubuluguta mu mabhu, nulu mumasalu amanogoleku. Iyoyi igacholaga aha soga hunayogela hoyi. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘mbulugutwa tunde:- ngoko iloga.’
Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu uyo agagulang’hanaga chiza umili gokwe. Umunhu ng’wunuyo, agabhizaga ni kujo umuchalo jakwe, kunguno ya akikalila kakwe. Adipondaga soni bho sagala, kunguno ulu uhaya gwita mhayo nhebhe, acholaga aha soga, guti ni ngoko iyo igacholaga aha bhogelo ubhusoga.
Umunhu ng’wunuyo, agabhalanjaga nabhiye ahigulya ya kuilang’hana chiza imimili yabho, kugiki bhadizita mihayo iyo idulile gubhaponda soni, umuwikaji bhobho. Hunagwene agabhaganilaga abhanhu bhakwe giki, ‘mbulugutwa tunde:- ngoko iloga.’
Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya kuidebha na kuilang’hana chiza imimili yabho, bho gwikala nikujo umuwikaji bhobho, kugiki bhadiziita imihayo iyo idulile gubhaponda soni, umukikalile kabho.
Yana 3:4-10.
Yoeli 2:12-17.
Luka 15:18-19.
KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA
KUGAAGAA KWAKWE ARDHINI:- KUKU ANAOGA
Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia uogaji wa kuku. Kuku huoga kwa kujigalagaza kwenye majivu, au kwenye mchanga laini. Yeye huwa anatafuta sehemu nzuri ya kuogea. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘kugaagaa kwake aridhini:- kuku anaoga.’
Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye, huutunza vizuri mwili wake, bila kupoteza heshima yake katika jamii. Mtu huyo, huendelea kuheshima kijijini mwake, kwa sababu ya mwenendo wake mzuri wa kuishi kwa kuwaheshimu pia wenzake.
Yeye hutekeleza yale yawezayo kutunza heshima yake kwa kuwaheshimu wale anaoishi nao. Hajiaibishi hovyo, kwa sababu, akitaka kutekeleza jambo fulani, hutafuta pale linapofaa kufanyika, kama vile kuku atafutavyo, sehemu nzuri ya kuogea kwake.
Mtu huyo, huwafundisha pia wenzake juu ya kutunza vizuri miili yao, kwa kutunza heshima yao katika jamii, ili wasije wakafanya mambo ya aibu maishani mwao. Ndiyo maana yeye huwahadithia watu kwamba, ‘kugaagaa kwake aridhini:- kuku anaoga.’
Kitendawili hicho, chafundisha watu juu ya kuitunza vizuri miili yao, kwa kuheshimiana katika maisha yao, ili wasije wakajivunjia heshima, kwa kufanya mambo ya aibu, katika jamii.
Yona 3:4-10.
Yoeli 2:12-17.
Luka 15:18-19.
ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.
A MOTHER HAS FEET BUT A CHILD HAS NO FEET – A CHICKEN EGG.
The source of this riddle is the chicken and its eggs. Chickens have legs but they lay eggs which do not have legs. It is the care of the mother-chicken that can make eggs eventually develop legs and walk like mother-chicken. This scenario of chicken and egg relationship can be described using a riddle that ‘a mother has feet but a child has no feet – a chicken egg.’
This riddle can be compared to a person who protects his/her children well. This person knows well how to raise his/her children in good behaviour. This person is likened to a hen that cares for eggs until they are hatched into chicken and continue taking care of chicken till they become full independent chicken.
This riddle teaches people about having the patience to nurture their children so that they can understand how to live better with other people as they themselves understand what to do and not to do in life.
Isaiah 10: 14-15.
Matthew 1: 18-25.