Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola jisumva ijo jigibyalaga bho gunya magi, guti ngoko. Ingoko ilina magulu, aliyo lulu, ulu yunyela amagi gayo, gadina magulu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘mayu munhu alina magulu lelo umyalwa adina magulu:- ligi lya ngoko.’
Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu, uyo agabhalanhanaga chiza pye abhana bhakwe. Umunhu ng’wunuyo, adebhile ugubhakuja chiza abhana bhenabho, mpaka bhajimana inhungwa ija wiza, ijo ajidebhile uweyi.
Uweyi agikolaga ni ngoko, iyo igabyalaga bhana abho bhadi na magulu, aliyo igagalang’hana amagi gayo, mpaga bhafuma moyi bhana, abho bhali na magulu guti ni yoyi, kunguno nuweyi, agabhalanjaga nhungwa jabhiza abhana bhakwe, mpaga bhiikola nang’hwe, umukikalile akawiza. Hunagwene agabhaganilaga abhanhu giki, ‘mayu munhu alina magulu lelo umyalwa adina magulu:- ligi lya ngoko.’
Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wiyumulija bho gubhalanga nhungwa ja wiza abhana bhabho, kugiki bhadule gudebha ugwikala na bhanhu bho mholele, gitumo bhagikalilaga abhoyi.
Isaya 10:14-15.
Mathayo 1:18-25.
KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.
MAMA MTU ANA MIGUU BALI MZALIWA HANA MIGUU:- YAI LA KUKU.
Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia viumbe ambavyo kuzaliana kwa kutaga mayayi, kama kuku. Kuku ana miguu lakini basi, akitaga mayayi yake, hayana miguu. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mama mtu ana miguu bali mzaliwa hana miguu:- yai la kuku.’
Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huwalinda vizuri watoto wake. Mtu huyo, anafahamu kuwakuza katika maadili mema watoto wake hao, hadi huwafikisha kwenye hatua ya kuyaelewa malezi hayo mema, kama anavyo yaelewa yeye.
Yeye hufanana na kuku atagaye mayayi yasiyo na miguu, na kuyatunza hadi wanapatikana watoto wenye miguu kama yeye, kwa sababu naye, huwafundisha maadili mema watoto wake, hadi kufikia hatua ya kufanana naye, katika mwenendo wa kuishi. Ndiyo maana huwahadithia watu kwamba, ‘mama mtu ana miguu bali mzaliwa hana miguu:- yai la kuku.’
Kitendawili hicho, chafundisha watu juu ya kuwa na uvumilivu wa kuwakuza katika maadili mema watoto wao, ili waweze kuelewa namna ya kuishi vizuri na watu, kama wanavyoelewa wao wenyewe.
Isaya 10:14-15.
Mathayo 1:18-25.
ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.
A MOTHER HAS FEET BUT A CHILD HAS NO FEET – A CHICKEN EGG.
The source of this riddle is the chicken and its eggs. Chickens have legs but they lay eggs which do not have legs. It is the care of the mother-chicken that can make eggs eventually develop legs and walk like mother-chicken. This scenario of chicken and egg relationship can be described using a riddle that ‘a mother has feet but a child has no feet – a chicken egg.’
This riddle can be compared to a person who protects his/her children well. This person knows well how to raise his/her children in good behaviour. This person is likened to a hen that cares for eggs until they are hatched into chicken and continue taking care of chicken till they become full independent chicken.
This riddle teaches people about having the patience to nurture their children so that they can understand how to live better with other people as they themselves understand what to do and not to do in life.
Isaiah 10: 14-15.
Matthew 1: 18-25.