496. KALAGU – KIZE. WITANDULA TANDULA KULWA LUTUGA LOKWE:- MADUTU GIDOKE.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola linti ili ligitanagwa idoke. Ilinti linilo, lilinogoleku noyi, kunguno, ulu guyemba unyaga, amadutu galyo gatitulanyaga, na gayiyongeja ugusanaguka. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘witandula tandula kulwa lutuga lokwe:- madutu gidoke.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli myaji, uyo abhagabhakenagulaga abhana bhakwe, kunguno ya inhungwa jakwe ijo jililabhubhi. Umyaji ng’wunuyo, agabhalekanijaga abhana bhakwe, bhabhiza na kajile kabhi, kunguno ya kikalile kakwe ako kadinilange ilya gwikala na bhanhu chiza.

Umunhu ng’wunuyo, agikolaga ni nituga lidoke ilo ligatandulwa na luyaga, aliyo nunina ogo alihaho, kunguno nuweyi, agabhakenagulaga abhana bhakwe, kunguno ya gugayiwa nhungwa ja wiza, umukikalile kakwe. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘witandula tandula kulwa lutuga lokwe:- madutu gidoke.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya gubhiza ni lange lya wiza, ukubhana bhabho, kugiki, bhadule gukula bhali nilange ilya gwikala chiza na bhanhu, uwikaji bhobho.

Mwanzo 3:1-7.

Luka 21: 34-38.

Wagalatia 3:1-6.

Warumi 5:12-14.

KISWAHILI: KTENDAWILI:  –  TEGA.

KUJICHANA CHANA NI SABABU YA WEHU WAKE:- MAJANI YA MGOMBA.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia mti unaoitwa mgomba. Mtu huo, ni mlaini sana, kwa sababu, ukipulizwa na upepo, majani yake huanza kugongana, na kujiongeza kujichana chana. Ndiyo maana watu huhadithiana kwamba, ‘kujichana chana ni sababu ya wehu wake:- mgomba.’

Kitendawili hicho, chalinganishwa kwa mzazi, yule ambaye huwaharibu watoto wake, kwa sababu ya mfano mbaya wa maisha yake wanauona. Mzazi huyo, huwatelekeza watoto wake, na kuwaonesha mfano mbaya wa mwenendo wake, ambao hauna maadili ya kuishi vizuri na watu.

Mtu huyo, hufanana na wehu wa mgomba uliowachana chana watoto wake, kwa sababu naye, ametelekeza watoto wake, kwa kuonesha mfano mbaya wa maisha, ambao hauna maadili mema. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘kujichana chana ni sababu ya wehu wake:- mgomba.’

Kitendawili hicho, chafundisha watu juu ya kuwa na malezi mema kwa watoto wao, ili waweze kukua wakiwa wamejengeka vizuri katika maadili ya kuwawezesha kuishi vizuri na watu, maishani mwao.

Mwanzo 3:1-7.

Luka 21: 34-38.

Wagalatia 3:1-6.

Warumi 5:12-14.

banana leave

banana ni doke

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME

HE/SHE HAS CUT HIMSELF/HERSELF BECAUSE OF HER/HIS CRAZINESS- BANANA TREE.

The source of this saying is a banana tree that appears to be soft and because of its softness, when the wind blows, it cuts off its branches. That is why people can say ‘he/she has cut himself/herself because of his/her craziness – banana tree’ to communicate how the softness of banana branchs makes them to swing around when the wind blows that result into them being cut into pieces.

This riddle can be compared to a parent who destroys his/her children because of the way he/she lives with other people around him/her. Such a parent can set a bad example to his/her children. It can also be compared to a person who abandons his/her children, a behaviour that demonstrates bad parenting system to his/her children.

This saying teaches people about caring for their children so that they can grow up to be well-grounded in values ​​that enable them to live well with people in their lives.

Genesis 3: 1-7.

Luke 21: 34-38.

Galatians 3: 1-6.

Romans 5: 12-14.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.