479. UKULI WEYI UONGUZU JAFUMA JILIWA, UKULI WEYI UYO AGAJILWA BHUGAFUMA BHUNONU.

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile munhu uyo alinimi. Umunhu ng’wunuyo, agajitumilaga inguzu jakwe, bho gulima mpaga jigela jiliwa. Ijiliwa jinijo, abhanhu bhagajilyaga bhapandika bhunonu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ukuli weyi uonguzu jafuma jiliwa, ukuli weyi uyo agajilwa bhugafuma bhunonu.’

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu, uyo agigulambijaga uguitumama imilimo yakwe, mpaga opandika matwajo mingi. Amatwajo genayo, gadulile gugalucha kikalile kahakaya yakwe, gufumila mubhugayiwa bho sabho, mpaga mubhupandiki bhojo. Umunhu ng’wunuyo, alina bhukamu bhutale ubho guitumama chiza imilimo yakwe yiniyo.

Uweyi agalenganijiyagwa nu nimi uonguzu, uyo agapandika jiliwa ja gulwa abhanhu bhakwe, kunguno nu weyi agapandikaga matwazo mingi agagufumila umubhutumami bhokwe, bhunubho. Amatwayo genayo, gagayinhaga sabho ikaya yakwe. Hunagwene abhanhu, bhagang’wilaga giki, ‘ukuli weyi uonguzu jafuma jiliwa, ukuli weyi uyo agajilwa bhugafuma bhunonu.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na wigulambija bho guitumama chiza imilimo yabho, kugiki bhadule gupandika matwazo mingi, ayo gadulile gujimalila bhuhabhi, ikaya jabho.

Mathayo 26:26-28.

Yahane 6:5-14.

KISWAHILI: KWAKE YEYE MWENYE NGUZU KILITOKA CHAKULA, KWAKE YEYE MWENYE KUKILA ULITOKA UTAMU.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia mtu ambaye ni mkulima. Mtu huyo, huzitekeleza kazi zake kwa kutumia nguvu zake, mpaka kinapatikana chakula. Chakula hicho, huliwa na watu, ambao hupata utamu wa kutoka kwenye chakula hicho.  Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kwake yeye mwenye nguvu kilitoka chakula, kwake yeye mwenye kukila ulitoka utamu.’

Msemo huo, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye, hujitahidi kufanya kazi kwa bidii kubwa, mpaka hufaulu kupata mafanikio mengi maishani mwake. Mafanikio hayo, huweza kupadilisha maisha ya familia yake, kutoka kwenye umaskini hadi kwenye utajiri. Mtu huyo, ana bidii kubwa yiwezayo kumsaidia katika kuzitekeleza vizuiri kazi zake hizo.

Yeye hulinganishwa na mkulima, yule mwenye nguvu, aliyepata chakula cha kutosha kuwalisha watu wake, mpaka wakapata mafanikio mengi yaliyobadilisha maisha ya familia yake. Mtu huyo, naye alipata mafanikio yaliyoiondoa familia yake kutoka kwenye umaskini hadi kwenye utajiri. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘kwake yeye mwenye nguvu kilitoka chakula, kwake yeye mwenye kukila ulitoka utamu.’

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na bidii ya kuwawezesha kuzitekeleza vizuri kazi zao, ili waweze kupata mafanikio mengi yawezayo kuziondolea umaskini familia zao.

Mathayo 26:26-28.

Yahane 6:5-14.

nimi o madoke

ntanzania nimi o madoke.jpg

ENGLISH: TO HIM WHO HAS ENERGY COMES FOOD, TO HIM WHO HAS EATEN COMES SWEETNES.

The source of this saying is a farmer and his/her strength to produce food stuff.  The farmer carries out his/her duties of farming to make sure that he/she harvests for consumption. It is the eater of the food that will appreciate the sweetness of the food produced by the farmer. That is why people use the saying that ‘to him who has energy comes food, to him who has eaten comes sweetness’ to mean the way the two people depend on each other in the whole process of food production.

The saying can be compared to a person who works hard to the point of success; until you achieve great success in life. That success can change his/her family’s life, from poverty to wealth. The saying can also be compared to a powerful man/woman who has enough food to feed his/her people. The consumption of his/her produce can change his/her family’s life. These changes can include the shift from poverty to wealth.

The saying teaches people about being diligent. People have to carry out their duties in a manner that enables them to have good harvest in future for the betterment of their families.

Matthew 26: 26-28.

John 6: 5-14.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.