478. KALAGU – KIZE. MAMI ADAHAILE DIBHONE: – NG’HUNI.

Imbuki ya kalagu yiniyo, ililola Ng’huni. Ing’huni yiniyo, igikalaga kunuma ya miso, kunguno unsumbi oyisumba bho gwitula kwene. Amiso agene, gali ku bhutongi ya ng’huni, gitumo gabhegejiwa nu nsumbi ogo. Giko lulu, imigo genayo gadadulile ugwibhona ni ng’huni yiniyo, kunguno bhuli jene jili na lwande lojo, ijo jidadulile ugwisangija. Hunagwene abhanhu bhagiganilaga giki, ‘mami adahaile dibhone: – Ng’huni.’

Ikalagu yiniyo, igalenganijiyagwa kuli munhu, uyo aidebhile uguitumama chiza imilimo yakwe, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo, adabhishibyaga abhiye umumilimo yabho, kunguno amanile aho igelelile imilimo yakwe yiniyo.

Uweyi agabhalangaga nabhiye, ahigulya ya kuitumama chiza imilimo yabho, bho nduhu ugwishatya mumilimo iyo idiyabho. Hunagwene uweyi agabhawilaga abhanhu giki, ‘mami adahaile dibhone: – Ng’huni.’

Ikalagu yiniyo, yalanga bhanhu higulya ya guidebha na guitumama chiza imilimo yabho, bho nduhu ugwishatya umumilimo iyo idiyabho, kugiki bhadule gupandika matwazo mingi, umuwikaji bhobho.

1Wakorintho 12:12-31.

Mathayo 2:13-18.

KISWAHILI: KITENDAWILI – TEGA.

 MJOMBA HATAKI TUONANE:- KISOGO.

Chanzo cha kitendawili hicho, chaangalia kisogo. Kisogo hicho huwa nyuma katika upande wa kichwa, kama muumbaji wake alivyo kiumba. Macho yenyewe yako mbele ya kisogo, kama muumbaji wake alivyoyaumba.

Hivyo basi, macho hayawezi kukiona kisogo hicho, kwa sababu yako upande mwingine wa kichwa. Kisogo na macho hayawezi kujichanganya, kwa maana ya kuwa, pamoja. Ndiyo maana watu huhadithiana kwa kusema kwamba, ‘mjomba hataki tuonane: – kisogo.’

Kitendawili hicho, hulinganishwa kwa mtu yule ambaye aelewa kuzifanya vizuri kazi zake, maishani mwake. Mtu huyo, haingilii kazi za wenzake katika utendaji wa kazi zake, kwa sababu anafahamu mipaka ya kazi zake hizo.

Yeye huwafundisha pia wenzake, namna ya kuzitekeleza vizuri kazi zao hizo, bila kuingilia majukumu ambayo siyo ya kwao. Ndiyo maana yeye huwaambia watu kwamba, ‘mjomba hataki tuonane: – kisogo.’

Kitendawili hicho, hufundisha watu juu ya kuzielewa na kuzitekeleza vizuri kazi zao, bila kuingilia majukumu yasiyo ya kwao, ili waweze kupata mafanikio mengi, maishani mwao.

1Wakorintho 12:12-31.

Mathayo 2:13-18.

maza-kilimo

ENGLISH: I HAVE A RIDDLE – LET IT COME.

MY UNCLE DOES NOT WANT TO MEET WITH ME- A NAPE.

The source of this riddle is a nape; the back side of the human head. The nape is always behind eye, as God created them. Therefore, the nape cannot see what is ahead of it and the eyes cannot see what a nape can see. This is why people can describe the relationship between the nape and eyes using the riddle that ‘my uncle does not want to meet with me – a nape.’

This riddle can be compared to a person who understands to do his/her job well in his life. This person does not interfere others in his/her doing of works because he/she knows the limit of his/her responsibilities. It can also be compared to a person who does well his/her works without compromising standards.

This riddle teaches people about how to understand and carry out their duties without compromising their responsibilities. This will enable them to achieve more in life because of their dedication to their assigned responsibilities.

1Corinthians 12: 12-31.

Matthew 2: 13-18.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.