469. NTUNGA JILEMEJIJE AGATUNGAGA WIMILILE.

Imbuki ya lusumo lunulo, yilolile bhutungi bho ginhu, ijo jilemejiwe ugutumamilwa. Untungi o ginhu jinijo, agatungaga ukunu wimilile, kugiki adule gupela wangu, ulu bhumhona abhanikili, nulu abho bhajilemejije. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ntunga jilemejije agatungaga wimilile.’

Ulusumo lunulo, lugalenganijiyagwa kuli munhu, uyo atogilwe gwita mihayo ya bhubhi, umukalile kakwe. Umunhu ng’wunuyo, agiitaga iyo iliyabhubhi yiniyo, ukunu wimilile shangu na gupela, kunguno igabhizaga ilemejiwe imihayo yiniyo.

Uweyi agalenganijiyagwa nu ntunga jilemejije, kunguno nang’hwe agiitaga imihayo iyo ilemejije iyabhubhi yiniyo, ukunu alibihi na kupela, ulu bhumhona abho bhayilemejije. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga umunhu ng’wunuyo giki, ‘ntunga jilemejije agatungaga wimilile.’

Ulusumo lunulo, lolanga bhanhu higulya ya kuleka gwita ya bhubhi, kugiki bhadule gujidimila chiza isheria jabho, umuwikaji bhobho.

Mwanzo 4:8-9.

Mathayo 27:3-4.

KISWAHILI: MFUNGAJI WA KILICHOKATAZWA HUFUNGA AKIWA AMESIMAMA

Chanzo cha methali hiyo, chaangalia ufungaji wa kitu kilichokatazwa kutumiwa. Umfungaji wa kitu hicho, hufunga huku akiwa amesimama, ili aweze kukimbia kwa haraka, wakimuona wale waliokikataza kutumiwa. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mfungaji wa kilichotazwa hufunga akiwa amesimama.’

Methali hiyo, hulinganishwa kwa mtu yule apendaye kufanya maovu katika mwenendo wake. Mtu huyo, huyafanya maovu hayo huku akiwa amesimama tayari kwa kukimbia, kwa sababu anafahamu kwamba hayo, yamekatazwa katika jamii.

Yeye hulinganishwa na mfungaji wa kitu kilichokatazwa, afungaye huku akiwa amesimama, kwa sababu, naye huyafanya maovu hayo, kwa kuibia akiwa tayari kukimbia wakati wowote, wakimuona wale wahusikao na sheria ikatazayo maovu hayo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘mfungaji wa kilichotazwa hufunga akiwa amesimama.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha tabia za kufanya maovu katika jamii, ili waweze kuishi kwa kufuata sheria za maeneo yao, katika maisha yao.

Mwanzo 4:8-9.

Mathayo 27:3-4.

fishing

angry women

ENGLISH: HE WHO FASTENS WHAT IS FORBIDDEN WILL DO IT WHILE STANDING.

The source of this proverb is someone who fastens something in the environment where doing such a fastening activity is forbidden. Such a person is likely to fasten it while standing for fear of being caught by those who forbade the doing of the activity of fastening. This is why people can describe this scenario using the proverb that ‘he who fastens what is forbidden will do it while standing.’

The proverb can be likened to a man who loves to do evils in his life. This person can be doing those evils with a lot of attention because he knows that he can be caught any time therefore he has to be ready to run fast to free himself from being beaten.

The proverb teaches people about giving up bad habits in the society. This will enable them to have a better society where people love each other.

Genesis 4: 8-9.

Matthew 27: 3-4.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.