460. GUICHOBHELA MAGULU

Imbuki ya kahayile kenako, yilolile bhuchoji bho ginhu, bho gutumila magulu. Ulu munhu alichola ginhu jilebhe, adulile gutumila nzila ningi, nulu magulu, kugiki adule gujipandika ijo alijichola. Abhanhu ulu bhubhona alikulagula bho magulu gakwe genayo, bhaguyomba giki, wandya ‘guicholela magulu,’ isabho yiniyo.

Akahayile kenako, kagalenganijiyagwa kuli munhu, uyo adalendaga aha kaya yakwe. Umunhu ng’wunuyo, agikalaga uyunga uko nuko, ijo agajicholaga agabhizaga ajimanile weyi ng’winikili. Ulu ukenya hanhu, abhanhu bhagung’wila giki, otogagwa weyi ‘guichobhela magulu,’ imihayo yiniyo.

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya guleka bhuyungi bho nduhu nguno, kugiki bhadizichobhela mamihayo ga sagara, nulu makoye gagwiyenhela bhoyi, umuwikaji bhobho.

2 Samweli 11:1-27.

 Waebrania 13:4.

KUITAFUTIA KWA MIGUU

Chanzo cha msemo huo, chaangalia utafutaji wa kitu kwa kutumia miguu. Mtu akiwa anatafuta kitu fulani, aweza kutumia njia nyingi, hata kutumia miguu yake, ili aweze kukipata kile anachokitafuta.

Watu wakimuona akikwaluza ardhi kwa kutumia miguu yake hiyo, katika kutafuta kwake, watasema kwamba, ameanza ‘kuitafutia miguu,’ mali hiyo.

Msemo huyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye, hatulii nyumbani kwake. Mtu huyo, huwa anazunguka kwa kuzurura katika sehemu mbalimbali, akitafuta kile anachokifahamu mwenyewe.  Lakini akizua ugomvi, au matatizo fulani, watu watasema kwamba, amependa mwenyewe, ‘kuitafutia miguu,’ kesi hiyo.

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kuzurura bila sababu, ili wasijitafutie matatizo ambayo, ni ya kujitakia wenyewe, maishani mwao.

2 Samweli 11:1-27.

Waebrania 13:4.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.