461. MHUNGA NJOBHA IGAKOBHAGA MHEMBE.

Imbuki ya kahayile kenako yilolile mbuli yamhunga, na kalwile kayo. Imbuli yiniyo, idina mapembe, aliyo imanile noyi ugulwa, kunguno iyoyi igakobhaga mhembe ijo jili nhali guti ja nja. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘mhunga njobha igakobhaga mhembe.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kukaya ya ng’wa munhu, uyo aling’wobha. Ikaya yiniyo igabhizaga imanile uguchola nzila ja gwipija na bhanishi bhayo, kihamo nija gwiyinja umumakoye ga bhuli mbika.

Iyoyi, igalenganijiyagwa na mbuli ya mhunga, iyo igakobhaga mhembe guti ja nja, kunguno nayo, ikaya yiniyo igabhalanghanhaga abhanhu bhayo, bho gutumila nzila ningi.

Iyoyi imanile ugulwa na bhanishi bhayo, mpaga igabhapyenaga. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘mhunga njobha igakobhaga mhembe.’

Akahayile kenako, kalanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhugagaja, bho gujilanghana jinagujilela chiza, ikaya jabho, kugiki, jikije ugukenagulwa na bhanhu, abho bhali miganiko mabhi.

Luka 19:1-4.

Luka 16:3-7.

MBUZI MWOGA HUJUA NAMNA YA KUJIHAMI.

Chanzo cha msemo huo, chaangalia mbuzi asiye na pembe, na kupigana kwake. Mbuzi huyo, hana pembe, lakini anafahamu sana kupigana na adui zake, kwa sababu yeye, hutafuta pembe zilizokali kama za paa. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mbuzi mwoga hujua namna ya kujihami.’

Msemo huyo hulinganishwa na familia ambao ni wa mtu mwoga. Familia hiyo, inafahamu namna ya kutafuta njia za kupigana na adui, pamoja na zile za kutatua matatizo ya wanafamilia wake.

Familia hiyo, hulinganishwa na mbuzi mwoga aliyetafuta pembe za paa kwa kupigana na adui zake, kwa sababu nayo, hutafuta njia mbalimbali za kuwalinda wanafahamilia dhidi ya watu waovu.

Yenyewe hutatua matazizo ya wanafamilia. Hivyo, yenyewe inaelewa namna ya kupigana na adui, mpaka kumshinda. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mbuzi mwoga hujua namna ya kujihami.

Msemo huo, hufundisha watu juu ya kuwa na ubunifu wa kuwawezesha kuzilinda familia zao, kwa kuzilea vizuri, ili zisiharibiwe na watu wenye nia mbaya.

Luka 19:1-4.

Luka 16:3-7.

goats fighing

goats-

ENGLISH: A COWARD GOAT KNOWS HOW TO DEFEND HIMSELF.

The source of this saying is a hornless goat that defends itself from enemies when fighting. This hornless goat, when fighting with its enemies, knows which trick to use to defeat its enemy. It can even borrow sharp horns like those of gazelle and be able to outwit its enemy. This is why people can describe this scenario using the saying that ‘a coward knows how to defend himself.’

The saying can be compared to a coward family that knows how to protect itself against external forces that are likely to disturb it. This family can have its tactics of defence in the same way the goat does in defending itself to the extent of borrowing weapons from other animals. Therefore, this family can have its own ways of solving problems without depending on others.

The saying teaches people about being creative to protect their families by raising them properly. They raise their family members in a way that ensures that they are not destroyed by evil-minded people.

Luke 19: 1-4.

Luke 16: 3-7.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.