439. YANDI YA NG’WA MONGO NTEMI O BADI.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kuli ntemi o Badi, uyo witanagwa Mongo. Untemi ng’wunuyo, ohoyaga na manhu bhakwe abho obhalangaga kikalile kawiza, na bhichabho. Umumahoya gakwe genayo, obhizaga ulu umhona munhu uyo adelelagwa wangu iyo aling’wila, ong’wilaga giki, alindi.

Umunhu uyo alindi ng’wunuyo, munho munhu uyo alimu giiti ya guduma gwelelwa iyo aliwilwa na bhiye. Hunagwene abhanhu ulumumhona munhu uyo alindamu ugwelewa iyo bhaling’wila, bhagayombaga giki, ung’wunuyo ali ‘yandi ya ng’wa Mongo ntemi o Badi.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo alemile ugushauriwa na bhiye. Umunhu ng’wunuyo, wikolile nuyo alimu giiti, kunguno nang’hwe, alindamu uguimana isolobho ya mihayo iyo bhaling’wila abhiye. Uweyi alindamu nu guyangulwa, ulu widumaga na munhu. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, umunhu ng’wunuyo ali ‘yandi ya ng’wa Mongo ntemi o Badi.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guitegeleja wangu imihayo iyo bhaliwilwa na bhichabho, kugiki bhadule guyelelwa wangu, na kuikalana, umuwikaji bhobho..

Luka 24:25-27.

Luka 24: 30-31.

KISWAHILI: YA ASIYEELEWA YA MONGO MTEMI WA BADI.

Chanzo cha msemo huo chatokea kwa mtemi wa Badi aliyeitwa, Mongo. Mtemi huyo alikuwa akiongea na watu wake juu ya kuishi vizuri katika kijiji chake. Akigundua kuwa, anayeongea naye, hakielewi kile anachomfundisha, alimwita mtu huyo kuwa ni mtu asiyeelewa.

Mtu huyo asiyeelewa yuko kwenye giza la kutokukielewa kile anachoambiwa na wenzake. Ndiyo maana, watu wakawa wanautumia msemo huo, kwa watu wale ambao hawaelewi kwa kusema kwamba, ‘ya asiyeelewa ya Mongo mtemi wa Badi.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hataki kushauriwa na wenzake. Mtu huyo hufanana na mtu aliyemo kwenye giza la kutokuelewa kile anachoelezwa na wenzake. Yeye pia ni mgumu wa kuamuliwa, akikosana na mtu. Ndiyo maana watu humwambia kwamba yeye ni ‘ya asiyeelewa ya Mongo mtemi wa Badi.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na umakini wa kuyaelewa mapema, yale wanayoelezwa na wenzao, ili waweze kuyatumia hayo katika kuyaendeleza vizuri, maisha yao.

Luka 24:25-27.

Luka 24: 30-31.

chief-

ENGLISH: IT IS OF MONGO’S HARD TO UNDERSTAND THE CHIEF OF BADI.

The source of the saying comes from the chief of Badi named Mongo. This chief used to talk to his people about living well in his village. He later on realized that the one he was talking to did not understand what he was telling him then he called the man as a misunderstanding one.

The man who does not understand is in darkness of not understanding what his fellow men tell him. Therefore, people who could not understand easily any given information were described using the saying that ‘it is of Mongo’s hard to undertand the chief of Badi.’

The saying can be compared to a person who does not want the advice of his/her colleagues. This person is like a person who is in the dark for not understanding what others are saying. He/she is also tough to reconcile when in conflict with another person. That is why people can tell him/her that he/she is ‘hard to undertand the chief of Badi’ to communicate his/her difficulty nature of understanding things.

The saying teaches people to focus on understanding what their peers tell them in order for them to have good understanding with neirbours.

Luke 24: 25-27.

Luke 24: 30-31.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.