438. GULI MONGO GWIKE AMINZI GATIMO.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile ku mongo na minzi gago. Ulu yutula mbula nhale, aminzi gadulile gwisumbya mpaka gokola mumongo, uyo abhanhu bhagayombaga giki, gwizaga mongo.

Aliyo lulu, ulu gushila aminzi genayo, gusagaga mongo gwike. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki ugunuyo, ‘guli mongo gwike aminzi gatimo.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo adina masala. Aminzi ayo gali mumongo gagalenganijiyagwa na masala. Umongo uyo guti na minzi, gugikolanijiyagwa nu munhu ng’wunuyo, uyo adina masala.

Hunagwene abhanhu ulu bhumona munhu uyo adina masala, bhagayomgaga giki ung’wunuyo, ‘guli mongo gwike aminzi gatimo.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gubhiza na bhutogwa bho gubhambilija abhanhu abho bhali na makoye, kugiki bhadule gwikala bho bhuyegi nabho, umuwikaji bhobho.

Wagalatia 3:1.

Tito 3:1.

2 Petro 2:12.

KISWAHILI: NI MTO TU MAJI HAYAMO.

Chanzo cha methali hiyo, chatokea kwenye mto na maji yake. Ikinyesha mvua kubwa, maji hujikusanya mpaka kuwa mengi yawezayo kujaza mto, ambao watu husema kwamba, mto umekuja.  Lakini basi, maji hayo yakiisha, hubaki mto tu. Ndiyo maana watu husema kwamba, huo ‘ni mto tu maji hayamo.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hana akili. Maji yaliyomo mtoni hufananishwa na akili. Mto ambao hauna maji, hulingana na mtu yule asiye na akili. Ndiyo maana watu wakimuona mtu ambaye hana akili, husema kwamba, huo ‘ni mto tu maji hayamo.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na upendo wa kuwasaidia watu ambao wana matatizo, ili waweze kuishi pamoja nao, kwa furaha.

Wagalatia 3:1.

Tito 3:1.

2 Petro 2:12.

dry river

dry river1

ENGLISH: A RIVER WITHOUT WATER.

The source of this saying comes from the river and its water. When it rains heavily, the water accumulates to fill the river, which can make people say, the river has come. But when that water dries the river remains empty. That is why people can say ‘a river without water.’

The saying can be compared to a man who has no sense. The water in the river is likened to the mind. A river that has no water is the same as the mindless man. That is why when people see someone who has no sense, they can say, ”It’s just a river without water.’

The proverb teaches people about having knowledge about their surrounding environment. It also teaches people about love of helping others with problems, regardless of their knowledge and ability.

Galatians 3: 1.

Titus 3: 1.

2 Peter 2:12.

 

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.