437. UBHEBHE HU LIMOLA?

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kuli mola. Umola olimunhu uyo oliadatogilwe imilimo yakwe itumamwe sagara sagara.

Umunhu ng’wunuyo agabhiza jigemelo nu kuli ng’wene, uyo uhaya guitumama milimo yakwe bho bhudiliji bhutale. Hunagwene abhanhu bhagamujaga giki, ‘ubhebhe hu mola?’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agatumamaga milimo bho gwiyolecha kubhanhu bhandebhe igiki agatumamaga chiza.

Umunhu ng’wunuyo ahayile abhanhu bhagumane unimo gokwe, kugiki bhadule gunkumilija. Hunagwene abhanhu abho bhandebhile umo alili, nu wiyolecha bhokwe, bhagamujaga giki, ‘ubhebhe hu mola?’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kuleka nhungwa ya gutumama milimo bho gwiyolecha kubhanhu abho bhalihaya bhabakumilije, kugiki bhadule gutumama chiza, nulu bhali nduhu abhanhu abhagubhakumilija.

Yohana 4:11-12.

Yohana 8:53-55.

KISWAHILI: WEWE NDIYE MOLA?

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwa Mola. Mola alikuwa mtu yule ambaye hakupenda kazi zake zifanywe hovyo. Alipenda kazi hizo zifanywe kwa umakini na vizuri.

Mtu huyo alikuwa mfano wa kulinganishwa hata kwa mwingine ambaye hakutaka kufanya kazi vibaya. Hivyo yule aliyependa kuzifanya kazi zake vizuri, walimuuliza kwamba, ‘wewe ndiye mola?’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hufanya kazi yake kwa kujidai kwamba anafahamu kila kitu, ili kujionesha kwa lengo la kutaka kusifiwa.

Mtu huyo, hutaka watu wazione kazi zake, ili wamsifiye. Ndiyo maana watu wale wanaielewa tabia yake hiyo, ya kufanya kazi kwa kujionesha, humuuliza kwamba, ‘wewe ndiye mola?’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha tabia ya kufanya kazi kwa lengo la kujionesha kwa watu kwamba, wanafahamu kila kitu, wakati kumbe sivyo, ili waweze kuzifanya vizuri kazi zao, hata kama watu wa kuwasifu, hawapo.

Yohana 4:11-12.

Yohana 8:53-55.

dancing

construction

ENGLISH: ARE YOU MOLA?

The source of the saying comes from Mola. Mola was a man who wanted his works to be done carefully and properly.

Mola was an example of people who would prefer to do their works in a perfect manner. Therefore, anyone who could do his/her work perfectly was compared to Mola. The saying can be compared to a person who does his/her work by claiming to know everything in order to show himself/herself that he/she is always perfect in his/her doings and therefore be praised by others.

The proverb teaches people not to work just for show up but work perfectly for the sake of building thir families and the society around them.

John 4: 11-12.

John 8: 53-55.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.