432. GWISAGILWA NG’HANGA YA KIMBULU

Imbuki ya lusumo lunulo yilolile wisagiji bho nyama ya kimbulu. Uwisagiji bho kimbulu bhunubho, bhuli bho gwisagilwa ginhu ijo jidaliyagwa, kunguno ikimbulu ili nyabhu ya mumapolu, iyo idasugagwa na hangi idaliyagwa. Kunguno yiniyo lulu, ‘gwisagilwa ng’hanga ya kimbulu,’ mumho gwisagilwa nyama iyo idaliyagwa.

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agisagilagwa ginhu, ijo jidadulile gung’wambilija, umuwikaji bhokwe.

Umunhu ng’wunuyo adulile nulu gwisagilwa bhukumilijiwa, ubho adadulile gubhulya. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, uweyi olendela ‘gwisagilwa ng’hanga ya kimbulu.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kuleka gwisagilwa ginhu ijo jidina solobho, ukuwikaji bhobho, kugiki bhadule ugujisagilwa ijo jidulile gubhambilija, ugujibheja chiza ikaya jabho.

Kumbukumbu la Torati 14:8-10.

Marko 7:2-4.

Marko 7:14-15.

Warumi 4:14.

KISWAHILI: KUTEGEMEA KANGA WA PAKA SHUME

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye utegemeaji wa nyama ya paka shume. Utegemeaji huo ni wa kutumaini kitu ambacho hakiliwi, kwa sababu paka shume ni paka wa polini ambaye hafugwi, wala haliwi.  Hivyo basi, ‘kutegemea kanga wa paka shume,’ maana yake ni kutumaini kupata nyama ambayo hailiwi.

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule, ambaye hutegemea kitu ambacho hakiwezi kumsaidia maishani mwake. Mtu huyo aweza hata kutegemea sifa, ambayo hawezi kuila. Ndiyo maana watu husema kwamba, mtu huyo anapoteza wakati wake kwa ‘kutegemea kanga wa paka shume.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha kutegemea kitu kisichokuwa na faida maishani mwao, ili waweze kutegemea kile kiwezacho kuwasaidia katika kuziendeleza vizuri familia zao.

Kumbukumbu la Torati 14:8-10.

Marko 7:2-4.

Marko 7:14-15.

Warumi 4:14.

cats

cat

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.