414. LEKAGA UBHUSASABHIJA ULAKALILA HABHI.

Imbuki ya kahayhile kenako ilolile bhusasabhija ubho bhudulile gushilila bhabhi. Ubhusasabhija bhunubho bhuli bho gumana ujiyelela ikaya ja bhanhu.

Uweyi adalendaga ahakaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagamhugulaga bho gung’wila giki. ‘lekaga ubhusasabhija ulakalila habhi.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agajaga ulya jiliwa ja mumakaya ga bhanhu. Umunhu ng’wunuyo adalendaga aha kaya yakwe. Uweyi agamanaga ulola uko lyochi lilizuka omana giki, bhalizuga koyi, oja.

Abhanhu nose bhagang’witanaga giki, ‘nkunga lyochi.’ Hunagwene abhanhu bhenabho bhagang’wilaga giki, ‘lekaga ubhusasabhija ulakalila habhi.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya guleka nhungwa ja bhukokolo bho gutumama milimo yabho, kugiki bhaitumame imilimo yabho yiniyo iyo idulile gubhapandikila jiliwa jabho jagulya mpaga bhoya uguja bhulilila jiliwa ja mumakaya ga bhanhu.

Luka 13:3 – 5.

2 Wathesalonike 3:10.

KISWAHILI: ACHA UDOEAJI UTAISHIA PABAYA.

Chanzo cha msemo huo chaangalia udoeaji ambao huweza kuishia pabaya. Udoeaji huo ni wa mhusika kwenda kula kwenye familia za watu mbalimbali.

Yeye huwa hatulii nyumbani kwake.  Ndiyo maana watu humuonya kwa kumwambia kwamba, ‘acha udoeaji utaishia pabaya.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huenda kula kwenye familia za watu wengine. Mtu huyo huwa hatulii nyumbani kwakwe.

Yeye huwa anaangalia kwenye familia ile ambayo kuna moshi unataka, na kwenda pale ili akale chakula. Mwishowe watu wengine humwita mtu huyo kama mvizia moshi. Ndiyo maana watu hao humwambia kwamba, ‘acha udoeaji utaishia pabaya.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuacha tabia za uvivu wa kufanya kazi zao, ili wafanye kazi zile ziwezazo kuwapatia chakula cha kutosha kula na kuacha kula chakula hicho kwenye familia za watu wengine.

Luka 13:3 – 5.

2 Wathesalonike 3:10.

man arm

shouting-

ENGLISH: STOP SCROUNGING TO AVOID HAVING A BAD ENDING.

The source of the above saying looks at the behaviour of scrounging that can make someone have a bad ending in life. This comes from someone who is used to eating food from other peoples’ households. Such a person does not settle well in his/her home rather spends much of the time loitering around looking for where to sponge food. People of this behaviour can be warned by the saying that ‘stop scrounging to avoid having a bad ending.’

This saying can be compared to a person who goes out to eat in other people’s families. He/she always looks for families where there is smoke with the hope that he/she can get food. In the end, such people can be labled as smoke waiters.

The saying teaches people to stop being idle rather they should engage in productive activities that can enable them to survive.

Luke 13: 3 – 5.

2 Thessalonians 3:10.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.