415. NATALI NIGOLA

Imbuki ya kahayile kenako yilolile wibhegeleja ubho bhudakililwe witwe haho nimo nebhe gutali ugutumamwa. Uwibhegeleja bhunubho, bhuli bhogujikuminga pye ijitumamilo ja nimo uyo gulihaya gutumamwa. Hunagwene ulu adinamala ugwibhegeleja umunhu, agayombaga giki, ‘natali nigola.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kubhanhu abho bhiyigwa gutumama nimo guti winga, nulu sherehe yose yose. Abhanhu bhenabho bhagibhegelejaga mpaga bhamala ugujipandika ijitumamilo ja ha nimo gunuyo. Hunagwene ulu bhabhujiwa na bhichabho, ulu bhatali bhuchola, bhagashoshaga giki, ‘natali nigola.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gwibhegeleja bho gujipandika ijitumamilo ja nimo gobho, haho bhatali ugugwandya ugugutumama unimo gunuyo.

Muhubiri 3:1.

Wagalatia 4:4-5.

 Luka.2:25 – 26.

 Yakobo 5:10 – 11.

 2 Petro 1:10 – 11.

KISWAHILI: BADO NAJIANDAA

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye maandalizi ambayo hutakiwa kufanyika kabla ya kuanza kuifanya kazi fulani.

Maandalizi hayo, ni ya kuvikusanya vitendea kazi vitakiwavyo katika kazi husika. Ndiyo maana watu kama hawajayakamilisha maandalizi hayo, husema kwamba, ‘bado najiandaa.’

Msemo huo hulinganishwa kwa watu wale ambao wamepanga kufanya kazi fulani kama vile: harusi, au sherehe fulani.

Watu hao hujiandaa mpaka wamalize kuvipata vitendea kazi, vitakiwavyo kuwepo katika sherehe hiyo. Ndiyo maana akiulizwa mmoja wao, hujibu kwamba, ‘bado najiandaa.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kujiandaa kwa kuvipata vitendea kazi vitakiwavyo kwenye kazi itarajiwayo kufanywa, kabla ya kuanza kuitekeleza.

Muhubiri 3:1.

 Wagalatia 4:4-5.

 Luka.2:25 – 26.

 Yakobo 5:10 – 11.

 2 Petro 1:10 – 11.

 

kitchen1

kitchen

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.