406. IKUMGU ILI GUFUGA SUBHI

Imbuki ya kahayile kenanko yingilile kujifub’o ja gujiyomba ginhu jigongwa numa jajo. Ijifub’o jinijo jolechije gub’ona ginhu, ijo  jili jilihu. Ilinilo hi likungu ilo lyufugaga sub’i. Ulu munhu ubhona sub’i adulile guhaya giki, obhonaga nhanga. Hunagwene abhanhu abhenabho ulu bhubhona ginhu jilihu, bhagayombaga giki, ‘ikungu ili gufuga Sub’i.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agalangaga bhanhu bho gutumila mihayo ya mbisila, nulu ya jifubho. Umunhu ng’wunuyo adeb’ile ugub’alela chiza abhanhu b’akwe bho nduhu ugubhogohya. Hunagwene agayomgaga giki, ‘ikungu ili gufuga Sub’i.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gub’alela abhanhu bhabho bho nduhu ugubhogahya, kugiki bhadule ugujilela chiza ikaya jabho.

1 Samweli 16: 6-13.

Isaya 10:33.

KISWAHILI: ENEO HILI KUFUGA CHUI

Chanzo cha msemo huo yatokea kwenye fumbo la kukiongelea kitu kinyume chake. Fumbo hilo, laonesha kuona kitu ambacho ni kirefu. Hilo ndilo eneo lifugalo chui. Mtu akiona chui, kwa mfano, aweza kusema kwamba, ameona kanga. Ndiyo maana watu hao wakiona kitu kirefu husema kwamba, ‘eneo hili kufuga chui.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye  hufundisha watu kwa kutumia mafumbo yawezayo kuufikisha vizuri ujumbe unaotakiwa kwa watu wake. Mtu huyo, aelewa kuwalea vizuri watu wake, bila kutumia maneno ya kuwatisha. Ndiyo maana husema kwamba, ‘eneo hili kufuga chui.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwalea vizuri watu wao bila kutumia maneno ya kuwatisha, ili waweze kuzilea vyema familia zao.

1 Samweli 16: 6-13.

Isaya 10:33.

leopard

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.