407. OFUJAGA NTWE OTULA MAGULU.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile kubhutuji bho magulu ga ndimu, bho ng’wa munhu uyo oliahayile atule ntwe. Ulu bhanhu bhalilinga ndimu ng’wipolu, bhagatulaga kuntwe, kugiki indimu yiniyo idule gucha wangu. Hunagwene ulu munhu ugufuja untwe utula magulu, bhagayombaga giki, ‘ufujaga ntwe otula magulu.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo ogayombaga mhayo bho gugufuja umo gulili. Uweyi agaguyombaga heke umo gudilili.

Umunhu ng’wunuyo agadumaga ugubhushisha ub’ung’hana bho mhayo gunuyo ukubhiye. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ofujaga ntwe otula magulu.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gubhuyomba ubhung’hana bho mihayo yabho, ukubhichab’o, kugiki bhadule gwikala bho mholele, umuwikaji bhobho.

Yohana 21: 4-6.

Yohana 8: 4-11.

Susana 1: 52-62.

UMEKOSA KICHWA UMEPIGA MIGUU.

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye upigaji wa mnyama poli kwenye miguu badala ya kichwani. Watu wakiwa wanawinda wanyama poli, hulenga kuwapiga kichwani, ili waweze kufa mapema.  Ndiyo maana mtu akimkosa kumpiga kichwani mnyama na badala yake akampiga miguu yake, husema kwamba, ‘umekosa kichwa umepiga miguu.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye huongea neno kwa kuukosea ukweli wake ulivyo. Mtu huyo hushindwa kuufikisha ujumbe wenye ukweli kwa wenzake. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘umekosa kichwa umepiga miguu.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuusema ukweli uwezao kuwasadia wenzao, katika kuishi kwa amani maishani mwao.

Yohana 21: 4-6.

 Yohana 8: 4-11.

Susana 1: 52-62.

legs

ENGLISH: YOU HAVE HIT THE LEGS INSTEAD OF THE HEAD.

The source of the above saying comes from killing wild animals where the target is always on hitting their heads in order to make them die easily. If it happens that the hunter misses the target and hits the legs instead then he/she runs the danger of not killing the targeted animal. Such a hunter can be described using the saying that ‘you have hit the legs instead of the head.’

The saying can be compared to a person who is used to erroneous speaking. Such a person can fail to communicate messages to his/her intended audience in a manner that is required.

The saying teaches people about speaking the truth that can help others to understand well and respond accordingly. In so doing, they create a good and peaceful society that abides by principles of truthfulness.

John 21: 4-6.

John 8: 4-11.

Susana 1: 52-62.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.