398. WIZA B’O B’ULAB’U B’UDALAMAGA

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kuwiza b’o b’ulab’u. Ub’ulab’u b’unub’o jiliginhu ijo jigazwaga jab’iza na b’ulab’u wiza, ulu litali likanza lya dilu, niyo jigalab’aga noyi. Aliyo lulu, ulu lyushiga iliknza ilya mhindi jigikunaga jab’ipila. Hungagwene abhanhu bhabayombaga giki. ‘wiza b’o b’ulab’u b’udalamaga.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo atali nyanda, nulu ng’waniki. Umunhu ng’wunuyo agab’izaga nab’u noyi. Aliyo lulu, ulu unamhala nulu, ulu ugiguluha, agoyoga ugulab’a. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘wiza b’o b’ulab’u b’udalamaga.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gudilila wiza bho nhungwa ja ng’wa munhu kuleb’a, ubhulab’u bhokwe, ulu bhalihaya gwitola.

Ayubu 14:1-2.

1 Petro 1:24.

KISWAHILI: UZURI WA UA HAUDUMU

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye uzuri wa ua. Ua hilo ni kitu ambacho huota na kutoa ua ambalo hung’ara sana wakati wa asubuhi. Lakini ukifika muda wa jioni, huinama na kuwa baya. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘uzuri wa ua haudumu.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye bado ni kijana. Mtu huyo huwa anang’aa kwa maana ya kuwa na sura nzuri sana. Lakini akiwa mzee atakoma kung’aa, badala yake atainama na kuonesha sura mbaya. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘uzuri wa ua haudumu.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kujali uzuri wa tabia  ya mtu zaidi, kuliko ule wa sura yake, ili waweze kuwaelewa vizuri wenzao, hasa wale wanaotaka kuoana.

Ayubu 14:1-2.

1 Petro 1:24.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.