397. NGOKO JALEKANILA MAZUNZE

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kumazunze ayo gali mawe gagung’wisija ngoko mingi. Amazunze genayo, gali mashimu gagudula gulang’hana minzi mingi. Ingoko ijo jigagang’welaga amazunze genayo, ulu jikenya jigalekanaga amang’welo gajo, kunguno jiditogagwa. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘ingoko jalekanila mazunze.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kubhanhu abho bhali bhaludugu lumo. Abhanhu bhenabho ulub’iduma bhagoyaga nulu gwigisha. Hunawene bhagalenganijiyagwa ku ngoko ijo jikenya, bho guyomba giki, ‘ngoko jalekanila mazunze.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya guleka widumi, kugiki bhadule gwikala na b’ichabho b’itogilwe na bho mholele, umuwikaji bhobho.

1 Wakorintho 11:17-34,

Mathayo 10:34.

KISWAHILI: KUKU WAMEACHANIA MAWE YA KUNYWEA MAJI

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye mawe ya kunyweshea kuku maji. Mawe hayo yana kina kirefu cha kutosha kutunzia maji hayo ya kuku. Kuku hao ambayo hunywea maji kwenye mawe hayo, wakigombana, hutengana hata sehemu hizo za kunywea maji kwa sababu hawapendani. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘kuku wameachania mawe ya kunywea maji.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa watu wale ambao wanaundugu mmoja. Watu hao wakikosana huacha hata kusalimiana wakutanapo. Ndiyo maana watu huwafananisha na kuku waliogombana, kwa husema kwamba, ‘kuku wameachania mawe ya kunywea maji.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha ugonvi ili waweze kuishi pamoja na wenzao kwa upendo na amani, maishani mwao.

1Wakorintho 11:17-34,

Mathayo 10:34.

hens drinking

One comment

 1. My coder is trying to convince me to move to .net from PHP.
  I have always disliked the idea because of the expenses. But he’s tryiong
  none the less. I’ve been using WordPress on a number of websites for about
  a year and am anxious about switching to another platform.
  I have heard good things about blogengine.net.
  Is there a way I can transfer all my wordpress content into it?

  Any help would be greatly appreciated!

  Like

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.