396. WANEKA MHINDI KUNUMA.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kujito cha ng’wa munhu guneka Mhindi kunuma. Umhindi lili lina lwa nkima uyo akalekwa numa nu ngoshi okwe.             Gashinaga ulu, umunhu uyo atolile ideb’elaga uguneka numa nkima okwe. Hunagwene abhanhu ulu bhumona munhu onekaga numa umkima okwe, bhagayombaga giki, ‘waneka Mhindi kunuma.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alifundi ogub’eja ginhu jileb’e. Aliyo lulu, ufundi ng’wunuyo agajilekaga kunuma ijitumamilo jakwe, usiminza makono duhu. Umunhu ng’wunuyo, agadumaga ugutumama chiza imilimo yakwe, kunguno ya gujileka kunuma ijitumamilo jakwe jinijo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘waneka Mhindi kunuma.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gwikala kihamo ni jitumamilo jabho, kugiki bhadule uguitumama chiza imilimo yabho.

Yohane 11:32 – 36.

Kutoka 32:1- 6.

KISWAHILI: UMEMUACHA MHINDI NYUMA.

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye kitendo kwa mtu kumuacha Mhindi nyuma. Mhindi ni jina la mtu wa kike aliyeachwa nyuma na mume wake. Kumbe mtu akiwa na mke wake haipendezi kumuacha nyuma mke wake huyo. Ndiyo maana watu wakimuona mtu ambaye amemuacha nyuma mke wake, humwambia kwamba, ‘umemuacha Mhindi nyuma.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ni fundi wa kutengeneza vitu mbalimbali. Lakini fundi huyo, huviacha nyuma vifaa vyake vya kufanyia kazi. Mtu huyo hushindwa kufanya kazi zake vizuri, kwa sababu hiyo ya kuviacha nyumba vitendea kazi vyake. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘umemuacha Mhindi nyuma.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuishi pamoja na vifaa vyao vya kufanyia kazi, ili waweze kuyatekeleza vizuri majukumu yao, hayo ya ufundi.

Yohane 11:32 – 36.

Kutoka 32:1- 6.

construction

carpenter-

 

ENGLISH: YOU HAVE LEFT MHINDI BEHIND.

The source of the above saying comes from the act of leaving Mhindi behind. Mhindi is the name of a girl left behind by her husband as they walk towards somewhere. If a man has a wife he doesn’t have to leave his wife behind when walking. That is why when people see a man who has left his wife behind, they can say ‘you have left Mhindi behind.’

The saying can be compared to a man who is a master of craft but he is used to leaving behind his craft equipment. Such a person is likely to fail in performing his/her duties properly, because of not having the work equipment. That is why people can tell him/her that ‘you have left Mhindi behind’ to communicate the idea of not being complete in his/her technical aspect for failing to have working tools.

The saying teaches people to live with their work equipment. This can help them to continue doing their daily activities without any interference.

John 11:32 – 36.

Exodus 32: 1-6.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.