395. UDIZUB’ULEKA B’UKINDILE NDINHO

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kub’uzugi bho jiliwa guti bhugali, nulu bhuchele. Unzugi ng’wunuyo ulu wandya ugubhukinda ndinho ubho alibhuzuga, mumho wegela ugubhubisha. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘udizub’uleka b’ukindile ndinho.’

Usulumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina wizang’holo bho gub’akarib’usha gwiza gulya jiliwa jakwe abhiye. Umunhu ng’wunuyo adebhile igiki, umunhu uyo ali mulugendo lokwe adulile gusanga makoye ga gugayiwa jiliwa uko ajiile kunuko. Gashinaga lulu, ili chiza unsimizi ng’wunuyo, apandike jiliwa haho atali ugwandya ulugendo lokwe. Hunagwene abhanhu bhabayombaga giki, ‘udizub’uleka b’ukindile ndinho.’

Usulumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gub’iza na wizang’holo bho gub’inha bhichabho ijiliwa jab’o, kugiki bhadule guyega halumo nabho, umuwikaji bhobho.

Luka 24:29-30.

KISWAHILI: USIACHE MWIKO UMECHOMEKWA KWENYE CHUNGU

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye upikaji wa chakula, kama vile ugali au wali. Mpishi huyo akianza kukichoma kwa mwiko kile anachokipika, maana yake amekaribia kuivisha chakula hicho. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘usiache mwiko umechomekwa kwenye chungu.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana ukarimu wa kuwakaribisha pia wenzake kwenye chakula chake. Mtu huyo aelewa kwamba, mtu anayesafiri aweza kukuta matatizo ya kukosa chakula kule aendako. Kumbe basi, yafaa msafiri huyo, apate chakula kabla ya kuanza safari yake kwenda kule aendeko. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘usiache mwiko umechomekwa kwenye bhungu.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuwa na ukarimu wa kuwapatia pia wenzao chakula chao, ili waweze kufurahi wote kwa pamoja.

Luka 24:29-30.

goulash1

chocolate

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Google photo

You are commenting using your Google account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.