382. KALYA KANITUMBUKILA.

Imbuki ya kahayile kenako yingilile ku jisumva ijo jigalyaga jiguta na kundosa uyo ojilishaga. Ijisumva jinijo jigatub’aga na gwandya kulomba jiliwa ja gulya kubhichajo. Aliyo lulu, ulujinhiwa ijiliwa jinijo, julya mpaga jiguta, jigandosaga uyo ojilishaga b’o gwandya gundukila sagala. Hunagwene uyo ujilishiga agayombaga giki. ‘kalya kanimbukila.’

Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo atina bhulumbi ukubhanhu abho bhagang’wambilijaga. Umunhu ng’wunuyo uyo wambilijiwa mpaga winga umumakoye, agandyaga gung’witila ya bhub’i uyo ong’wambilijaga, kihamo na gung’wima ginhu josejose ung’wambilija okwe ng’wunuyo. Hunagwene umunhu uyo ong’wambilijaga agayombaga giki, ‘kalya kanitumbukila.’

Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gub’iza na b’ulumbi ukub’anhu abho bhagab’ambilijaga ugwinga umumakoye gabho, kugiki bhadule gwikala bho mholele na bhichabho, umuwikaji bhobho.

Mithali 21:24.

 Zaburi 9:4.

 Yohane 13:18.

KISWAHILI: KAMEKULA KAKANITUKANA.

Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye kiumbe ambacho hulishwa chakula na kumtukana yule aliyekilisha chakula hicho. Kiumbe hicho hushikwa njaa sana kiasi cha kufikia hatua ya kuomba chakula hicho kwa wale walicho nacho. Lakini baada ya kupewa chakula hicho kikala na kushiba, huanza kumtukana yule aliye kisaidia. Ndiyo maana mtu huyo husema kwamba, ‘kamekula kakanitukana.’

Msemo huo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye hana shukrani kwa watu waliomsaidia, mpaka akatoka kwenye matatizo yaliyokuwa yakimsumbua. Mtu huyo huusahau wema aliotendewa ambaye huanza kumtukana mtu aliyemsaidia, hata humunyima chochote amombacho yule aliyempatia msaada huo. Ndiyo maana mtu huyo, humwambia yule aliyekosa shukrani kwamga, ‘kamekula kakanitukana.’

Msemo huo hufundisha watu juu ya kuwa na shukrani kwa watu waliowasaidia maishani mwao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao, maishani mwao.

Mithali 21:24.

 Zaburi 9:4.

kneeling

 

ENGLISH: EATEN AND ABUSED THE COOK.

This saying originates from people who get food and in return abuse the cook. It is built in the context that someone, who is hungry enough and in need of food but after having eaten to his/her satisfaction, he/she turns against the cook and abuses him/her. Such people can be warned by this saying that they have ‘eaten and abused the cook.’

The saying can be compared to a person who is ungrateful to the people who helped him/her. Such people tend to forget easily the help they get from others.

The saying teaches people about being thankful to the people who helped them in their lives so that they can live in peace with others.

Proverbs 21:24.

Psalm 9: 4.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.