373. GUGULU GULI NG’OMBE IDAKO ILALIJA.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhupandiki bho jikolo guti ng’ombe, na bhugayiwa bho jikolo jinijo. Umunhu uyo agusiminzaga, wikolile na munhu uyo agucholaga sabho, ung’wunuyo adulile gujipandika.

Aliyo lulu, uyo agikalaga wigashije duhu, wikolile na munhu uyo alinkokolo ugutumama milimo, ung’wunuyo adajipandika ijikolo jinijo. Uweyi agab’izaga na nzala bhuli makanza, ahakaya yakwe. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘gugulu guli ng’wombe idako ilalija.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agicholelaga jikolo bhotumama milimo iyo ayidulile, umuwikaji bhokwe. Umunhu ng’wunuyo agajipandikaga isabho ja gudula kung’wambilija ijinagubhalisha abhanhu bhakwe.

Uweyi adeb’ile igiki, uyo agikalaga wigashije duhu, agajigayiyagwa isabho jinijo mpaga uyulalila aha ng’wakwe, kunguno ya gugayiwa jiliwa. Gashinaga lulu, guligonghana giki, ‘gugulu guli ng’ombe idako ilalija.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gutumama milimo ya gudula gubhapandikila jikolo ja gubhalisha abhanhu bhab’o. Yigelilwe abhanhu bhenabho, bhajileke inhungwa ja bhukokolo ijinagutumama milimo.

Yohane 6: 21-22

 Mathayo 7: 7-8.

KISWAHILI: MGUU NI NGOMBE TAKO HULAZA NJAA.

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye upataji wa mali na ukosaji wa mali hizo. Mtu atembeaye hufanana na yule atafutaye mali hizo ambaye aweza kuzipata.

Lakini yule ambaye hukaa muda wote bila kufanya kazi, huzikosa mali hizo. Hali hiyo husababisha kulaza watu wake bila kula. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘mguu ni ng’ombe tako hulaza njaa.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye hutafuta mali au vitu kwa kufanya kazi zile aziwezazo maishani mwake, ambazo zaweza kuwapatia mahitaji yao watu waishio kwenye familia yake.

Yeye aelewa kuwa, yule utumiae muda wake kwa kukaa bila kufanya kazi, hukosa mahitaji ya kuendeshea vizuri familia yake. Kumbe ni kweli kwamba, ‘mguu ni Ng’ombe tako hulaza njaa.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kufanya kazi zile ziwezazo kuwapatia mahitaji ya kuweza kuzitunza familia zao, maishani mwao. Yafaa watu hao, waziache tabia za uvivu katika kufanya kazi.

Yohane 6: 21-22

 Mathayo 7: 7-8.

nature

african

cattle1

 

ENGLISH: A FOOT IS FOR COW AND A BUTTOCK IS FOR HUNGER.

The source of the above proverb comes from the acquisition and loss of property. The person who travels is like the one who seeks those possessions and is likely to possess them. But, for someone who doesn’t travel he/she is likely not to have possession of properties. Such a person who doesn’t travel is likely to die of hunger. This is why people can warn others by telling them that ‘a foot is for cow and a buttock is for hunger.’

This proverb can be comparable to a person who seeks properties or possessions by working hard in his/her life knowing that, if he/she just stays in one place, he/she will never succeed. He/she knows that idleness can result into suffering in life.

This proverb teaches people about working hard in order to provide for the family necessities and avoid being lazy.

John 6: 21-22

 Matthew 7: 7-8.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.