374. NSHA MAB’ATE ADALALIJAGA B’AKWE.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhushi bho b’usu. Ubhushi bho b’usu bhunubho b’uli bhoguhalaga ijiliwa ijo jilishiwa. Unshi o b’usu ng’wunuyo adulile gubhalisha abhanhu bhakwe nulu na mahalagu genayo, bhulya bhiguta, gutinda uyo adina ginhu jose jose. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘nsha mab’ate adalalijaga b’akwe,’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo alina sabho, nulu ginhu ja gudula kubhalisha abhanhu bhakwe, kutinda uyo adina ja gub’inha nulu, jib’ib’i.

Umunhu ng’wunuyo agabhalangaga na bhiye ahigulya ya gub’iza na ginhu ja gudula kub’ambilija  abhanhu bhabho, umuwikaji bhobho. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘nsha mab’ate adalaligaja b’akwe.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kutuula jiliwa, nulu jikolo ja gudula gubhambilija umuwikaji bhobho.

 Luka 3:15-17 .

Methali 9: 12.

Misale 17:10 -16 .

MSAGAJI UNGA USIO LAINI HALALISHI WATU WAKE NJAA

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye usagaji wa unga. Usagaji huo ni wa kuvunja vipande vikubwa badala ya kuvilaisha, kama unga utakiwavyo kuwa. Msagaji wa unga huo, aweza kuwalisha watu wake hata kwa kuutumia unga huo wenye vipande vikubwa, wakala na kutosheka, kuliko mtu yule asiye na unga wa aina yoyote. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘msagaji wa unga usio laini halalishi watu wake njaa.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ana mali au kitu chochote cha kuweza kuwalisha watu wake, kuliko yule ambaye hana hata kile kibaya cha kuwapa wake.

Mtu huyo huwafundisha pia wenzake juu ya kuwa na kitu cha kuweza kuwasaidia maishani mwao. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘msagaji wa unga usio laini halalishi watu wake njaa.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuweka akiba ya chakula au kitu cha kuweza kuwasaidia maishani mwao.

Luka 3:15-17 .

Methali 9: 12.

Misale 17:10 -16.

stone-grinding

flour-sack

breakfast

 

ENGLISH: HE WHO GRINDS WILL NEVER LET HIS/HER PEOPLE SLEEP WITHOUT EATING.

The source of the above proverb comes from a woman who grinds flour. Grinding produces rough flour; which is different from the fine one. Such a person who grinds flour is far better of than the one who has nothing to feed his/her people. Such grinders are being encouraged by telling them that ‘he who grinds will never let his/her people sleep without eating.’

The proverb can be compared to a person who has something to feed his/her people. Such a person is better than another person who has nothing at all to feed his/her people.

This proverb teaches people about saving food or something to help them in their lives.

Luke 3: 15-17.

Proverbs 9:12.

Lines 17:10 -16.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.