370. WALALILAGA IGONG’HO LIMO.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhulaji b’o ng’wa munhu higong’ho limo. Umunhu ng’wunuyo agaminyigagwa ni ligong’ho linilo ulu olilalila kunguno ya bhudimu bholyo. Uluwela ubhujiku agab’izaga adina lubhango kunguno ya guluhiwa ni ligong’ho linilo. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki ‘walalilaga igong’ho limo.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo omishaga apelanile ying’wene. Umunhu ng’wunuyo nulu agabhujiwa mhayo na bhiye, agagakalihaga gwike. Abhiye bhagadumaga uguhoya nang’hwe, kunguno ya gogoha gukalihilwa sagala. Hunagwene abhanhu bhagang’wilaga giki, ‘walalilaga igong’ho limo.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya guleka gwikala na bhupelanu bho gubhakalihila sagala abhichab’o, kugiki bhadule gwikala bho mholele nabho, umuwikaji bhobho.

Yakobo 1:19-20.

Ayubu 9:27.

Mithali 19:3.

KISWAHILI: UMELALIA GONGO MOJA

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye ulalaji wa mtu kwenye gongo moja. Mtu huyo huumizwa sana na gongo hilo alilaliapo, kwa sababu ya ugumu wake. Usiku ukicha, yeye huwa hana raha kwa sababu ya kuteswa kwake hivyo.  Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘umelalia gongo moja.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu yule ambaye ameamuka akiwa amekasilika mwenyewe. Mtu huyo, hata akiulizwa jambo na wenzake, huwa alielewi. Wenzake hushindwa kuongea naye kwa sababu ya kuogopa kukalipiwa hovyo. Ndiyo maana watu humwambia kwamba, ‘umelalila gongo moja.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kuacha kuishi kwa hasira na wenzao, ili waweze kuishi kwa amani na wenzao hao, maishani mwao.

Yakobo 1:19-20.

Ayubu 9:27.

Mithali 19:3.

houmeles sleeping

 

ENGLISH: YOU HAVE SLEPT ON ONE WOOD.

The source of this saying is someone who sleeps on one wood. Such a person is likely to have severe spine pain when he/she wakes up. He/she is someone who is in pain the whole night. This is why people can tell such a person that ‘you have slept on one wood.’

The saying can be compared to a person who appears to be angry in the morning. Such a person, even when asked something, he/she can pretend not to have understood it. This is why people can tell such a person that ‘you have slept on one wood.’

The proverb teaches people about letting go of anger so that they can live in peace with their neighbors.

James 1: 19-20.

Job 9:27.

Proverbs 19: 3.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.