369. ULALILE BHULI?

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kuli munhu uyo alalile. Umunhu ng’wunuyo adigwaga ginhu josejose kunguno ya gub’iza alimutulo jakwe jinijo. Uweyi agab’izaga alalile ahamakanza ayo yigelelilwe abhize ali miso. Hunagwene abhanhu bhagamujaga giki, ‘ulalile b’uli.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo agab’izaga adadeb’ile ijo jilendeleya aho ali uweyi. Jidulile nulu gwigela jito jitale aho ali umunhu ng’wunuyo, aliyo uweyi agub’iza adajideb’ile. Kukikalile kenako agab’izaga guti alalile aho ali henaho. Hunagwene abhanhu bhagamujaga giki, ‘ulalile b’uli?’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya gwita bhukengeji bho gudeb’a iyo ilendelea aho bhali, kugiki bhadule gub’ambilija abhichabho abho bhali mumakoye.

Luka 24:18.

Luka 22:45-46.

Zaburi 44:23.

KISWAHILI: KWA NINI UMELALA?

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye hali ya mtu aliyelala. Mtu huyo huwa hasikii kitu chochote kile kwa sababu ya kuwa na usingizi wake huo. Yeye huwa amelala hata wakati ule atakiwapo kuwa macho. Ndiyo maana watu humuuliza kwamba, ‘kwa nini umelala?’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye huwa haelewi kile kinachoendelea pale alipo. Chaweza hata kutokea kitu kubwa ambacho hutakiwa kuwa amekielewa, lakini yeye huwa hakielewi. Maisha hayo hulingana na mtu aliyelala pale alipo. Nidyo maana watu humuuliza kwamba, ‘kwa nini umelala?’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kufanya utafiti wa kuwawezesha kuelewa kile kinachoendelea pale walipo, ili waweze kuwasaidia wenzao walioko kwenye matatizo.

Luka 24:18.

Luka 22:45-46.

Zaburi 44:23.

boy

 

 

ENGLISH: WHY HAVE YOU SLEPT?

The source of the above saying comes from someone who appears to be asleep. Such a person usually does not hear anything because of his/her sleep. He/she is always asleep even when he/she has to be awake. Such people are always being asked: ‘why have you slept?’

This saying can be compared to a person who does not understand what is going on around him/her. Something might happen that he/she should have understood, but he/she does not understand it. The saying can also be likened to a lazy person who does not want to work.This is why people can ask such a person ‘why have you slept?’ to mean that he/she has to wake up.

The proverb teaches people about doing research that can enable them understand what is going on around them. This will help them have good life.

Luke 24:18.

Luke 22: 45-46.

Psalm 44:23.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Twitter picture

You are commenting using your Twitter account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.