368. JALALA NGWAJE.

Imbuki ya lusumo lunulo yingilile kubhulaji bho mitugo ng’waje. Imitugo jinijo jilina nyango, aliyo gudalugalgwa. Abhanhu ulu bhub’ona gudalugalilwe unyango gunuyo bhagayombaga giki, ‘jalala ng’waje.’

Ulusumo lunulo lugalenganijiyagwa kuli munhu uyo adajidililaga chiza ijikolo, nulu isabho jakwe. Isabho jinijo nulu jigajimila, uweyi adajisadagwa. Umunhu ng’wunuyo agajilekanijaga sagala duhu kunguyo ya gugayiwa bhudiliji bho sabho jakwe bhunubho. Hunagwene abhanhu ulu bhajibhona jilekanijije chiniko, bhagayombaga giki, ‘jalala ng’waje.’

Ulusumo lunulo lolanga bhanhu higulya ya kujilang’hana chiza isabho jabho, kugiki jidizujimila sagala.

2 Mambo ya Nyakati 10:16.

Luka 16: 4- 12.

1 Timotheo 6:17.

KISWAHILI: IMELALA WAZI

Chanzo cha methali hiyo chatokea kwenye ulalaji wa mifugo bila kufungiwa mlango. Mifugo hao huwa na mlango wake lakini mlango huo haufungwi. Watu waunapo mlango huo ukiwa wazi, husema kwamba, ‘imelala wazi.’

Methali hiyo hulinganishwa kwa mtu ambaye huwa haijali vizuri mali yake. Mali hiyo hata ikipotea yeye huwa hajali. Yeye huitelekeza mali hiyo kwa sababu ya kutokujali kwake. Ndiyo maana watu waionapo mali yake hiyo iliyotelekezwa husema, ‘imelala wazi.’

Methali hiyo hufundisha watu juu ya kutunza vizuri mali zao ili zisije zikapotea hovyo.

2 Mambo ya Nyakati 10:16.

Luka 16: 4- 12.

1 Timotheo 6:17.

maasai-herdsman

sheep-hut

 

ENGLISH: THEY HAVE SLEPT WHILE THE DOOR IS OPEN.

The source of the above saying comes from sleeping animals in their kraal without protecting them by closing their entrance door. Kraals always have doors that need to be locked when animals are in for security reasons and for limiting them moving out before being allowed to do so. This is why when people see the kraal’s door is open while animals are in can say, ‘they have slept while the door is open.’

This saying can be compared to someone who is not taking good care of his/her property. Even if the property is lost he/she does not care. He/she is someone who forsakes the property because of his/her negligence. This is why when people see such a person can say, ‘they have slept while the door is open.’

This proverb teaches people to take good care of their property.

2 Chronicles 10:16.

Luke 16: 4- 12.

1 Timothy 6:17.

Leave a Reply

Fill in your details below or click an icon to log in:

WordPress.com Logo

You are commenting using your WordPress.com account. Log Out /  Change )

Facebook photo

You are commenting using your Facebook account. Log Out /  Change )

Connecting to %s

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.