Imbuki ya kahayile kenako yingilile kuli Lufu na Tulo. Ijisumva ijo jigeshemaga jigalalaga tulo ib’ujiku. Ijisumva jinijo ulu julala jigab’izaga guti jachaga, kunguno jidamanaga jose jose. Gashinaga lulu ub’ujiku b’ugalihaga guti ng’waka (b’ujiku ng’waka). Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘tulo lufu.’
Akahayile kenako kagalenganijiyagwa kuli munhu uyo agikalaga chiza na bhanhu bhakwe, haho adinaja ugujulala ib’ujiku, kunguno adeb’ile igiki, bhuli jisumva jilacha.
Umunhu ng’wunuyo agabhalangaga na bhiye ahigulya ya gutumama milimo yabho bho gub’ambilija abhichabho gwikala bho mholele, na bhanhu, haho b’adinacha, kunguno bhadamanile ulushigu ulogucha. Hunagwene abhanhu bhagayombaga giki, ‘tulo lufu.’
Akahayile kenako kalanga bhanhu higulya ya gutogwa gwikala bho bholele na bhichabho, kugiki, ulub’ucha bhadule gubhalekela ilange lyawiza, abhananzengo bhab’o.
Yakobo 4: 16-17.
Isaya 33:8.
Isaya 28:22.
KISWAHILI:USINGIZI KIFO.
Chanzo cha msemo huo chatokea kwenye usingizi na kifo. Viumbe wapumuao hulala usingizi wakatik wa usiku. Viumbe hao wakilala hawa hawajitambui, kwa sababu wao huwa kama wamekufa. kwa vile huwa hawatambui jambo lolote. Kumbe basi, usiku huwa mlefu kwa mwaka (usiku mwaka). Ndiyo maawa watu husema kwamba, ‘usinzizi kifo.’
Msemo huo hulinganishwa kwa mtu ambaye huishi vizuri na watu wake, kwa sababu yeye afahamu kwamba, kila mmoja atakufa. Mtu huyo huwafundisha pia wenzake juu ya kuishi kwa amani na watu kabla ya kufa, kwa sababu wahaijui siku ya kufa. Ndiyo maana watu husema kwamba, ‘tulo lufu.’
Msemo huo hufundisha watu juu ya kupenda kuishi kwa amani na wenzao, ili waweze kuwaachia urithi wa kufaa maishani mwao.
Warumi 6:15-23.
Waefeso 2:1-4.
ENGLISH: SLEEPING IS DEATH.
The source of the above saying comes from sleep and death. At night time, breathing organisms always fall asleep. These sleeping beings do not make sense of themselves when asleep. They appear like being dead. This is why people can tell such people that ‘sleeping is death.’
The saying can be compared to someone who lives well with his/her people because he/she knows that everyone will eventually die. Such a person also teaches his/her colleagues how to live in peace with people before they die because they do not know the day of their death. This is why people can say, ‘sleeping is death.’
The saying teaches people about a need to live in peace with neighbors so that they can leave a legacy for living a good life on earth.
Romans 6: 15-23.
Ephesians 2: 1-4.
Msemo huu umenigusa sana, sana unapoengelea mahusiano kati ya usingizi na kifo. kila siku katika maisha ya mwanadamu ifikapo usiku, Mtu huenda kupumzika bila kujiua ni kitu gani kitatokea kesho yake, ni Mungu peke yake ndiye anayejua kesho yetu, hivyo hatuna budi kujiandaa juu ya kesho yetu, kwa kuishi maisha yampendezayo Mungu
LikeLike